Kwa nini unanifanyia hivi

Kwa nini unanifanyia hivi

Tapel kuu

New Member
Joined
Jun 2, 2010
Posts
2
Reaction score
0
Nina mpenzi wangu,mpaka sasa simuelewi na kila ninalofikria kummfanyia naona halinimtoshi.mwaka 2004 tulikuw wapenzi,tukaachana ktk mazingira yeye mwenyewe kaamua.mwaka 2007 akaomba turudiane kiukweli nilimpokea kwa moyo mmoja nikampenda zaidi ya mwanzo.sasa kazingua tena hana sababu yyte ya msingi ya kuachana na mimi,najua baada ya muda wwte atarudi embu nishaurini si masihara.
 
kamanda unajijali kweli wewe? huko anakokwenda ni salama kweli? so akitoswa huko anajua mnyonge wake upo, anachukua hifadhi kwako, akipata mwingine anakutosa na wewe unakaa kumsubiri tu ishhh, achana naye huyo tapeli mkubwa wa mapenzi huyo
 
wewe toka mwaka 2004 mpaka 2007 hukuwa umempata mwingine mpaka huyo akuchezee namna hiyo....au na wewe huwezi ishi bila yeye....sasa huyo anakufanya chambo....akisha umizwa huko wewe ndio poozeo lake...changamka bibie/kaka utakuja kukuuwa na gonjwa....shaurilo
 
Akikurudia jifanye umemkubalia alaf baada ya mda mfupi umpige chini ili nae aonje joto ya kuachwa...
 
wewe toka mwaka 2004 mpaka 2007 hukuwa umempata mwingine mpaka huyo akuchezee namna hiyo....au na wewe huwezi ishi bila yeye....sasa huyo anakufanya chambo....akisha umizwa huko wewe ndio poozeo lake...changamka bibie/kaka utakuja kukuuwa na gonjwa....shaurilo

Naona Preta umeamua kumpa za uso kabisaaa, and yes you are right, huyo demu ni poozeo aisee!!! she needs to open eyes and realise anatumika kama buti la gari
 
Huyo anafaa umpige chini mbele ya marafiki zako! Mwingize kwenye chambo halafu umpe kibuti kitakacho mpa adabu maisha yake yote!
 
Huyo anafaa umpige chini mbele ya marafiki zako! Mwingize kwenye chambo halafu umpe kibuti kitakacho mpa adabu maisha yake yote!

hivi mtoa mada ni mke/mme? maana mimi nina hisia ni mwanamke.....well hata kama ni mwanaume ushauri wako sio mzuri....kwanini umfanyie mwenzio hivyo....si muachane kiustaarabu
 
Huyo hana true love kwako, la msingi achana nae na uendelee na maisha yako mengine.akirudi kuomba msamaha mwambie nafasi yake haipo tena .
Mbona amekufanya cartoon ya Tom & Jerry ?
 
Naona Preta umeamua kumpa za uso kabisaaa, and yes you are right, huyo demu ni poozeo aisee!!! she needs to open eyes and realise anatumika kama buti la gari
Kiongozi ushakuwa mjukuu wa sheikh Yahya? Ulijuaje kama ni shori?
 
Mi nina washkaji kama wawili hivi na wenyewe wanafanyiwa hivyo hivyo na wake zao!!

Wakikosana kidogo tu, demu anakimbilia kusema anaondoka anarudi kwao, akiienda baada ya muda wanarudiana....wakikaa tena na kukosana demu anasema ni bora ndoa ivunjike na yeye arudi kwao.

So mchezo umekuwa ndo huo! Jamaa niliwashauri wawaache hao wake zao...lakini mmoja anagoma kwa sababu tayari amezaa mtoto mmoja!!

Dawa demu akitingisha kiberiti wewe unakitia moto kabisa!!!
 
Achana na huyo mtu, ndio maana anakuacha kwa muda, anarudi huku akijua utamkubali bila shida. Na inaonekana karudi kulekule alikoacha, hivyo anawapanga bila nyie kujua. Mwishoni UTAAMBUKIZWA.
 
mie hii kitu ya kuwa mliachana but stayed friends siielewi hata kidogo!

mmeachana kama hamna mtoto hakuna kitu kinachowaunganisha hapo......kila mmoja ale gud time zake. mnakaa ati unaanza kupigiana simu na gf wa zamani ati she is just ur friend! go give a Mzungu that crap sie wabongo haiingii akilini hata kidogo
 
Back
Top Bottom