MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,882
- 5,896
Nimeangalia kwaya za AI za kumtania Yanga kushindwa, maudhui ya utani wa kingono ndio yamejaa.
Tena mengine yakijielekeza kwa lugha za siri za mapenzi kinyume na maumbile.
Mfano " Kishundu tumeshakiosha " akionyeshwa model ya mtu mwenye makalio makubwa mwenye mavazi ya kijani na njano.
Utani wa kishirikina angalau ila huu unaopelekea kwenye awareness ya ngono inamaanisha nini?
1: Jamii imeathiliwa sana na ngono?
2: Kuna njama za siri za wazee wa upinde kutumia ushabii huu kupenyeza agenda zao ( subliminal nfiltration)?
3: Ni mihemko tu ya utani wa jadi hasa Simba ambao hawajashinda siku nyingi wala hakuna agenda yoyote?
View attachment 3688182
👆Hapa wanawake na wanaume wanaimba, waume wetu Simba wanatupelekea moto.
Hapa ni wanaume wa Yanga wakicheza taarabu wakiwa wamevaa Mandela.
Hapa wwanaimbamsitu tumeufyeka, kishundu tumekiosha, Hatimaye imefika siku ya mume wetu kitushenyenta. Mume wao anaonekana ni Simba.
Hapa wanaimba kwaya ya kidini, lakini maneno ni Yanga mabingwa Simba wanapenda kuny.a ku.nya.
Hapa Simba anampeleka Yanga msimbazi kwenda kukojoa jangwani.
Hapa huyu chura anasema akifika msimbazi aumwage kwelikweli,Simba anamwambia hata ukitaka ku.nya ni sawa.
Hapa huyo chura anasema anapenda sana mtani wake akiwa nyuma yake anajiona mtu mwenye bahati sana.
Hizi ni chache kati ya nyingi ambazo nimeziona leo baada ya ushindi wa Simba nikajiuliza, au kama wenzetu ambao huko ulaya hadi ribon ya captain ni bendera ya mashoga, na huku tunaingiziwa kinamna kwa mlango wa utani.
Ni hayo tu. Sijalenga kumkwaza mtu ila kutoa tu unabii kuwa hii burudani kama utani usiposimamiwa na kuratibiwa vizuri unaweza pia kutumika kupitishia agenda chafu za kuharibu kizazi chetu kwa siri.