Kwa Nini UVCCM hawawajibu Vijana wa Kenya?

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,459
Reaction score
100,799
Naona UVCCM wako Kimya Tu wakati Mwenyekiti wao anabalaswa na Gen Z! Nilitamani hata wangeandamana kuonyesha solidarity na Mwenyekiti wao but WAKO kimya. Je kimya hiki kinaashiria nini? Why wamemuacha

Mwenyekiti wao peke yake ndio ajibizane na Wakenya? Kuna theories kadhaaa hapa, twende pamoja

1. Maybe yaliyozunguzwa na kusemwa ni kweli kabisa hivyo kukosa cha kujibu

2. Maybe madai ya Wakenya ndio hayo hayo madai ya UVCCM, hivyo UVCCM kupata msemaji wa masuala yao nje ya mfumo wao.

3. Maybe hawakubaliani na matendo ya Mwenyekiti wao na hivyo kukaa kimya abebe mzigo wake mwenyewe

4. Maybe kuna mambo hayoko Sawa Huko ndani, kunafuka Moshi baada ya Mwenyekiti kujitangaza kama mgombea ghafla

5. Maybe ni mwanzo wa Mwisho wa nyakati.
6. Maybe.....au basi

View: https://youtu.be/U89Gm7CuGgA?si=ylA0kjlGs5WdR-Oh
 
Maybe baada ya bandiko hili wataamka usingizini, litatafutwa fungu Kwa ajili ya kuwezeshana kuandamana. Hapa LAZIMA na wao wapige pesa ya kuandaa maandamano na t-shirt za Mama. Wacha tuone
 
Naona UVCCM wako Kimya Tu wakati Mwenyekiti wao anabalaswa na Gen Z! Nilitamani hata wangeandamana kuonyesha solidarity na Mwenyekiti wao but WAKO kimya. Je kimya hiki kinaashiria nini? Why wamemuacha

Mwenyekiti wao peke yake ndio ajibizane na Wakenya? Kuna theories kadhaaa hapa, twende pamoja

1. Maybe yaliyozunguzwa na kusemwa ni kweli kabisa hivyo kukosa cha kujibu

2. Maybe madai ya Wakenya ndio hayo hayo madai ya UVCCM, hivyo UVCCM kupata msemaji wa masuala yao nje ya mfumo wao.

3. Maybe hawakubaliani na matendo ya Mwenyekiti wao na hivyo kukaa kimya abebe mzigo wake mwenyewe

4. Maybe kuna mambo hayoko Sawa Huko ndani, kunafuka Moshi baada ya Mwenyekiti kujitangaza kama mgombea ghafla

5. Maybe ni mwanzo wa Mwisho wa nyakati.
6. Maybe.....au basi

View: https://youtu.be/U89Gm7CuGgA?si=ylA0kjlGs5WdR-Oh

Kwani UVCCM wana akili za kujibu
 
Mipasho ya nini tena na wakenya?,washapata mkong'oto inatosha.
IMG-20250524-WA0133.jpg
 
Muda ni hakimu mzuri, muda utaamua.
Come on now little boy
Say your prayers before you sleep
Little boy went down on his knees and he said
Oh Lord
Now I lay me down to sleep
I pray the Lord my soul to keep
And if I die before I wake
I pray the Lord my soul to take
Cause he's living in this crazy world oh Lord
 
HIM HA BORN LIVING IN CRAZY WORLD

letting people die for wrongs that they did ooh!! with painful.(some for their rights some for fun and their own glory )

Mwanzo-mwisho wa wimbo mistari ni ya moto kusadifu hali halisi ya sasa. So far so good we still living today but we don't know what tomorrow brings in this crazy world...
 
Naona UVCCM wako Kimya Tu wakati Mwenyekiti wao anabalaswa na Gen Z! Nilitamani hata wangeandamana kuonyesha solidarity na Mwenyekiti wao but WAKO kimya. Je kimya hiki kinaashiria nini? Why wamemuacha

Mwenyekiti wao peke yake ndio ajibizane na Wakenya? Kuna theories kadhaaa hapa, twende pamoja

1. Maybe yaliyozunguzwa na kusemwa ni kweli kabisa hivyo kukosa cha kujibu

2. Maybe madai ya Wakenya ndio hayo hayo madai ya UVCCM, hivyo UVCCM kupata msemaji wa masuala yao nje ya mfumo wao.

3. Maybe hawakubaliani na matendo ya Mwenyekiti wao na hivyo kukaa kimya abebe mzigo wake mwenyewe

4. Maybe kuna mambo hayoko Sawa Huko ndani, kunafuka Moshi baada ya Mwenyekiti kujitangaza kama mgombea ghafla

5. Maybe ni mwanzo wa Mwisho wa nyakati.
6. Maybe.....au basi

View: https://youtu.be/U89Gm7CuGgA?si=ylA0kjlGs5WdR-Oh

Watamjibi Dr. Gwajima au Wakenya?
 
Wengi shule ni tiamaji tiamaji, form four failure kama mkubwa wao. Kutengeneza sentence za mashambulizi hawawezi. Uku Tanzania wanaweza kwa sababu Police wanawasaidia kutesa watu.
 
Kwamba CCM na POLISi ni Sawa na kalio na kyupi??
 
Naona UVCCM wako Kimya Tu wakati Mwenyekiti wao anabalaswa na Gen Z! Nilitamani hata wangeandamana kuonyesha solidarity na Mwenyekiti wao but WAKO kimya. Je kimya hiki kinaashiria nini? Why wamemuacha

Mwenyekiti wao peke yake ndio ajibizane na Wakenya? Kuna theories kadhaaa hapa, twende pamoja

1. Maybe yaliyozunguzwa na kusemwa ni kweli kabisa hivyo kukosa cha kujibu

2. Maybe madai ya Wakenya ndio hayo hayo madai ya UVCCM, hivyo UVCCM kupata msemaji wa masuala yao nje ya mfumo wao.

3. Maybe hawakubaliani na matendo ya Mwenyekiti wao na hivyo kukaa kimya abebe mzigo wake mwenyewe

4. Maybe kuna mambo hayoko Sawa Huko ndani, kunafuka Moshi baada ya Mwenyekiti kujitangaza kama mgombea ghafla

5. Maybe ni mwanzo wa Mwisho wa nyakati.
6. Maybe.....au basi

View: https://youtu.be/U89Gm7CuGgA?si=ylA0kjlGs5WdR-Oh

Wakaanze kusoma A Be Che De kwanza kwa ras simba labda!
 
Back
Top Bottom