Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Kwani UVCCM wana akili za kujibuNaona UVCCM wako Kimya Tu wakati Mwenyekiti wao anabalaswa na Gen Z! Nilitamani hata wangeandamana kuonyesha solidarity na Mwenyekiti wao but WAKO kimya. Je kimya hiki kinaashiria nini? Why wamemuacha
Mwenyekiti wao peke yake ndio ajibizane na Wakenya? Kuna theories kadhaaa hapa, twende pamoja
1. Maybe yaliyozunguzwa na kusemwa ni kweli kabisa hivyo kukosa cha kujibu
2. Maybe madai ya Wakenya ndio hayo hayo madai ya UVCCM, hivyo UVCCM kupata msemaji wa masuala yao nje ya mfumo wao.
3. Maybe hawakubaliani na matendo ya Mwenyekiti wao na hivyo kukaa kimya abebe mzigo wake mwenyewe
4. Maybe kuna mambo hayoko Sawa Huko ndani, kunafuka Moshi baada ya Mwenyekiti kujitangaza kama mgombea ghafla
5. Maybe ni mwanzo wa Mwisho wa nyakati.
6. Maybe.....au basi
View: https://youtu.be/U89Gm7CuGgA?si=ylA0kjlGs5WdR-Oh
Mipasho ya nini tena na wakenya?,washapata mkong'oto inatosha.
Come on now little boyMuda ni hakimu mzuri, muda utaamua.
HIM HA BORN LIVING IN CRAZY WORLDCome on now little boy
Say your prayers before you sleep
Little boy went down on his knees and he said
Oh Lord
Now I lay me down to sleep
I pray the Lord my soul to keep
And if I die before I wake
I pray the Lord my soul to take
Cause he's living in this crazy world oh Lord
Watamjibi Dr. Gwajima au Wakenya?Naona UVCCM wako Kimya Tu wakati Mwenyekiti wao anabalaswa na Gen Z! Nilitamani hata wangeandamana kuonyesha solidarity na Mwenyekiti wao but WAKO kimya. Je kimya hiki kinaashiria nini? Why wamemuacha
Mwenyekiti wao peke yake ndio ajibizane na Wakenya? Kuna theories kadhaaa hapa, twende pamoja
1. Maybe yaliyozunguzwa na kusemwa ni kweli kabisa hivyo kukosa cha kujibu
2. Maybe madai ya Wakenya ndio hayo hayo madai ya UVCCM, hivyo UVCCM kupata msemaji wa masuala yao nje ya mfumo wao.
3. Maybe hawakubaliani na matendo ya Mwenyekiti wao na hivyo kukaa kimya abebe mzigo wake mwenyewe
4. Maybe kuna mambo hayoko Sawa Huko ndani, kunafuka Moshi baada ya Mwenyekiti kujitangaza kama mgombea ghafla
5. Maybe ni mwanzo wa Mwisho wa nyakati.
6. Maybe.....au basi
View: https://youtu.be/U89Gm7CuGgA?si=ylA0kjlGs5WdR-Oh
Wengi shule ni tiamaji tiamaji, form four failure kama mkubwa wao. Kutengeneza sentence za mashambulizi hawawezi. Uku Tanzania wanaweza kwa sababu Police wanawasaidia kutesa watu.Naona UVCCM wako Kimya Tu wakati Mwenyekiti wao anabalaswa na Gen Z! Nilitamani hata wangeandamana kuonyesha solidarity na Mwenyekiti wao but WAKO kimya. Je kimya hiki kinaashiria nini? Why wamemuacha
Mwenyekiti wao peke yake ndio ajibizane na Wakenya? Kuna theories kadhaaa hapa, twende pamoja
1. Maybe yaliyozunguzwa na kusemwa ni kweli kabisa hivyo kukosa cha kujibu
2. Maybe madai ya Wakenya ndio hayo hayo madai ya UVCCM, hivyo UVCCM kupata msemaji wa masuala yao nje ya mfumo wao.
3. Maybe hawakubaliani na matendo ya Mwenyekiti wao na hivyo kukaa kimya abebe mzigo wake mwenyewe
4. Maybe kuna mambo hayoko Sawa Huko ndani, kunafuka Moshi baada ya Mwenyekiti kujitangaza kama mgombea ghafla
5. Maybe ni mwanzo wa Mwisho wa nyakati.
6. Maybe.....au basi
View: https://youtu.be/U89Gm7CuGgA?si=ylA0kjlGs5WdR-Oh
Kwamba CCM na POLISi ni Sawa na kalio na kyupi??Wengi shule ni tiamaji tiamaji, form four failure kama mkubwa wao. Kutengeneza sentence za mashambulizi hawawezi. Uku Tanzania wanaweza kwa sababu Police wanawasaidia kutesa watu.
WAKO kimya sana sanaWanachoweza kujibu ni mama mitano tena basi...!
Gwaji boy Ndio size yao, watamtishatisha hivyo, basiWatamjibi Dr. Gwajima au Wakenya?
Naona UVCCM wako Kimya Tu wakati Mwenyekiti wao anabalaswa na Gen Z! Nilitamani hata wangeandamana kuonyesha solidarity na Mwenyekiti wao but WAKO kimya. Je kimya hiki kinaashiria nini? Why wamemuacha
Mwenyekiti wao peke yake ndio ajibizane na Wakenya? Kuna theories kadhaaa hapa, twende pamoja
1. Maybe yaliyozunguzwa na kusemwa ni kweli kabisa hivyo kukosa cha kujibu
2. Maybe madai ya Wakenya ndio hayo hayo madai ya UVCCM, hivyo UVCCM kupata msemaji wa masuala yao nje ya mfumo wao.
3. Maybe hawakubaliani na matendo ya Mwenyekiti wao na hivyo kukaa kimya abebe mzigo wake mwenyewe
4. Maybe kuna mambo hayoko Sawa Huko ndani, kunafuka Moshi baada ya Mwenyekiti kujitangaza kama mgombea ghafla
5. Maybe ni mwanzo wa Mwisho wa nyakati.
6. Maybe.....au basi
View: https://youtu.be/U89Gm7CuGgA?si=ylA0kjlGs5WdR-Oh
Duh 🙄Wakaanze kusoma A Be Che De kwanza kwa ras simba labda!
Ubabe ndo mnaweza ila kujibu hoja hamuwezi kwassabu kichwani ni empty. Bogus kabisa!Mipasho ya nini tena na wakenya?,washapata mkong'oto inatosha.