Kwa nini uwanja ukidhibitiwa Yanga huwa hapati matokeo?

Kwa nini uwanja ukidhibitiwa Yanga huwa hapati matokeo?

Uongozi wa utopolo wanatuletea soka la Ethiopia huko full upangaji wa matokeo
 
1. Wanaroga sana.
2. Wanapenda sana kuvunja mlango usio rasmi na kupita kwenda uwanjani wakati wa mchezo.
3. Wamedhamini timu zaidi ya sita ligi kuu.
4. Wanahonga waamuzi kupata point tatu..
5. Wanapenda kusajili kwa Kuikomoa simba, Okra, Mkude, Chama, Baleke , Mwenda nk.
 
  • Thanks
Reactions: K11
.....Dj don't stop the music, don't stop don't stop don't stop the musiiic...
 
Fanyeni usajili wa maana la si hivyo, mtaendelea kulalamika kila msimu.

Huna mchezaji ata mmoja anaye weza ku fit kwenye first eleven ya Yanga na bado mna lalamika.

Hakuna Ubingwa unao patikana kwa ujanja ujanja, Yanga wamewekeza ma wanastahili kuwa Mabingwa
 
Kama timu inacheza uwanjani basi sababu nyingine yoyote haiwezi kuwa na uzito, ispokuwa itakuwa imekutana na timu iliyojiandaa vizuri.
 
1. Wanaroga sana.
2. Wanapenda sana kuvunja mlango usio rasmi na kupita kwenda uwanjani wakati wa mchezo.
3. Wamedhamini timu zaidi ya sita ligi kuu.
4. Wanahonga waamuzi kupata point tatu..
5. Wanapenda kusajili kwa Kuikomoa simba, Okra, Mkude, Chama, Baleke , Mwenda nk.
Vs Monastir away [emoji736]
Vs Tp Mazembe away [emoji736] + draw 1
Vs Rivers united away [emoji736]
Vs club Africain away [emoji736]
Vs USMA away [emoji736]
Vs Real Bamako away draw
Vs Al Hilal away [emoji736]
Vs Marumo away [emoji736]
Vs Medeama away draw

Hizo mechi za kimataifa ambazo Yanga ya hivi kariibuni imepata matokeo wakiwa huko huko ugenini, je umeona video ikionesha Yanga wamewasha moto uwanjani kuroga kama walivyofanya Simba? Kuna mwamuzi aliyeonekana kahongwa? Kuna timu imedhaminiwa na GSM hapo?
Kumbe unawasemaga wenzio wana matatizo ya akili kwa usimba na yanga ila kumbe wewe ndio mwehu kupitiliza
 
Hapo kwenye list ongezea na makolo walipopigwa 5 Yanga ilikua away. Hizi ni kati ya propaganda za kipuuzi ambazo makolo wameamua kuzipa headline bila kuangalia gap la ubora lililopo na Yanga
 
Kwa nini mara nyingi uwanja anapocheza Uto ukidhibitiwa vizuri, Uto hawatoboi?
Nimejifunza hivyo pale Azam Complex ambapo ikabidi wakimbie. Hata jana pale kwa maafande naambiwa jeshi lilisimama imara.
Yanga umeshindwa kwenye mazingira magumu nje ya nchi, unaliongeleaje hilo?
 
Back
Top Bottom