OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Aaaah Mwasibu CPA uchwara SUNZU BOBAN OKW lete hesabu.Kwa nini mara nyingi uwanja anapocheza Uto ukidhibitiwa vizuri, Uto hawatoboi?
Nimejifunza hivyo pale Azam Complex ambapo ikabidi wakimbie. Hata jana pale kwa maafande naambiwa jeshi lilisimama imara.
Yanga alishinda point 1Matokeo yalikuaje?
OK. Asante kwa taarifa.Yanga alishinda point 1
Vs Monastir away [emoji736]1. Wanaroga sana.
2. Wanapenda sana kuvunja mlango usio rasmi na kupita kwenda uwanjani wakati wa mchezo.
3. Wamedhamini timu zaidi ya sita ligi kuu.
4. Wanahonga waamuzi kupata point tatu..
5. Wanapenda kusajili kwa Kuikomoa simba, Okra, Mkude, Chama, Baleke , Mwenda nk.
Hapo kwenye list ongezea na makolo walipopigwa 5 Yanga ilikua away. Hizi ni kati ya propaganda za kipuuzi ambazo makolo wameamua kuzipa headline bila kuangalia gap la ubora lililopo na YangaVs Monastir away [emoji736]
Vs Tp Mazembe away [emoji736] + draw 1
Vs Rivers united away [emoji736]
Vs club Africain away [emoji736]
Vs USMA away [emoji736]
Vs Real Bamako away draw
Vs Al Hilal away [emoji736]
Vs Marumo away [emoji736]
Vs Medeama away draw
Hizo mechi za kimataifa ambazo Yanga ya hivi kariibuni imepata matokeo wakiwa huko huko ugenini, je umeona video ikionesha Yanga wamewasha moto uwanjani kuroga kama walivyofanya Simba? Kuna mwamuzi aliyeonekana kahongwa? Kuna timu imedhaminiwa na GSM hapo?
Kumbe unawasemaga wenzio wana matatizo ya akili kwa usimba na yanga ila kumbe wewe ndio mwehu kupitiliza
Yanga umeshindwa kwenye mazingira magumu nje ya nchi, unaliongeleaje hilo?Kwa nini mara nyingi uwanja anapocheza Uto ukidhibitiwa vizuri, Uto hawatoboi?
Nimejifunza hivyo pale Azam Complex ambapo ikabidi wakimbie. Hata jana pale kwa maafande naambiwa jeshi lilisimama imara.