Doto12
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 640
- 1,141
Hiyo kichwa inahusika
Watoto wa kike wakiolewa kaka zao wanakuja kama ndgu wengine. Cha ajabu tena katika umri mkubwa 30s wanajiachia kama mazombie.
Hii kitu siielewi na nimeshuhudia vijana kwenye nyumb a kadhaa wakiwa very free na hawajali hata dada yao akitoa milio ya kupelekewa moto wanaona kawaida.
Reference jirani anamke na watoto wadogo wawili..ametembelesa yapata mwaka na kaka zake wadogo age range 28-38 wote wawili. Huyu dada dilisha lake ninakaribiana na kwangubipande wa sebule. Kuna muda napiga game, saa saba nane usiku jamaa akikiwasha kelele kama dada wa watu ananyofoleea kisimi. Nina hakika vijana wale wanasikia zile kelele.
Nauliza hu ndio usasa? Wife ana dogo lake nalo 30s linajiachia kishenzi.
Wkt sisi tulihustle kwenye mageto hawa wa siku hizi hawana plan. Yaani mnashindana mezani kugonga mayai asb na kula mpunga kuhakikisha hotpot zinakuwa tupu. Hiki kizazi sikielewi kinamatatizo gani.
Kila utapopita viwanja vina nadiwa kuuzwa hawahangaiki kuwekeza wanunue...