Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Habari za Sabato!
Nimeshangazwa Sana na mawazo ya vijana.
Mnawaza nini vijana?
Mnataka nini Vijana?
Mkoje ninyi vijana?
Katika hali ya kustaajabisha GenZ wanasema wao tatizo lao sio Soka, tatizo lao sio ajira, ajira hawana tatizo nalo.
Nikajiuliza kivipi tena wakati vijana ninyi ni jobless?
Wakasema ni bora wawe jobless kuliko kuambiwa wanaajira ambazo mishahara yenyewe haieleweki.
Kijana mmoja anakuambia mtu anakuambia ufanye kazi wakati kazi yenyewe unalipwa 300k pesa ambayo haikidhi mahitaji ya msingi ya mwanadamu.
Kijana mwingine akasema anarafiki yake anajitamba anaajira wakati analipwa elfu 6 kwa Siku na anafanya kazi masala zaidi ya 12. Akamaliza akasema bora awe dalali au winga.
Sasa nikawauliza kwa hiyo shida yenu kubwa ni ipi. Wakasema itawapasa kueleza shida zao kulingana na uwezo wa viongozi wao.
Wanasema wamegundua huenda wanawalaumu viongozi wao kwa Jambo lililonje ya uwezo wao.
Mfano Baba anauwezo wa kununua Viatu vya mtumba vya elfu 3 alafu mtoto adai Viatu vya elfu 30.
Wanasema kuliko waletewe Wachezaji, sijui Watu gani. Wao wanamtaka Sharukhan
Mimi simjui Sharukhan lakini nikataka kujua kwa nini wanamtaka.
Wanasema sharukhan ni Master wa Mapenzi, king wa mapenzi.
Vijana wa GenZ wanamaliza kwa kutoa kauli. Sharukhan ndiye wanamtaka. Na watafurahia.
Nikasema huku sijafikia. Hili tawi lipo juu Sana. Acha nije niwarushie wadau.
Karibuni