The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Toa maoni yako sasa na upendekeze unapenda tuite vpHii nimeikuta hapa Dar es Salaam, unakuta mwanaume anamuita mwanaume mwenzake baba flani na wanaona sawa tu.
Kama mimi mtu unakuta mwanaume mwenzangu ananiita baba Nyangwegwe, au baba Kazurungu. Unajiuliza hivi huyu hajisikii aibu? Na hii naona ni kama utamaduni wa watu wa Dar es Salaam kuita wanaume wenzao baba flani.
Na unakuta mtu anajitambulisha eti naitwa baba flani.
Siyo clareeee ni baba Klaree[emoji23]
Lakini ukitamka si kitu hicho hicho Mama Klaree? [emoji85][emoji86]Siyo clareeee ni baba Klaree[emoji23]
Ndio yeye [emoji16]Huyu uliyemtag ndio mama claree
Hapana , hiyo ya clareee itatamkika "kleeeaaa"Lakini ukitamka si kitu hicho hicho Mama Klaree? [emoji85][emoji86]
Ndio yeye [emoji16]