Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Sasa ndio nini kuaibishana hadharani siungesubiri nirudi nyumbani jioni unieleweshe!Hapana , hiyo ya clareee itatamkika "kleeeaaa"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Sasa ndio nini kuaibishana hadharani siungesubiri nirudi nyumbani jioni unieleweshe!
Dada kwani kuna pengine niliwahi kukutambulisha au Unanionea tu?[emoji3][emoji3] mdogo wangu punguza spidi tutakuzika
[emoji276][emoji276][emoji276][emoji276][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hapana kwa kweli, huyu wa kwanza. Niliteleza tu mdogo wanguDada kwani kuna pengine niliwahi kukutambulisha au Unanionea tu?
Sawa dada bora umeclear wingu maana mama klaree mkali kama pilipiliHapana kwa kweli, huyu wa kwanza. Niliteleza tu mdogo wangu
Kwani mtu ukimuita baba juma.Iko namna hii.
Kwa sisi waislamu,wewe mwanamme kama una watoto anaetakiwa akuite baba fulani ni mkeo au mwanamke ambae si ndugu yako yaani waweza msababishia mimba,wengine kama wanaume wenzio wakuite tu jina lako,kama kassam au chandrah,kama wa kike wakuite kaka,mjomba.
Yaani nimuite man mwenzangu baba fulani? Hapana aisee.
ukizaa njoo utupe mrejeshoHii nimeikuta hapa Dar es Salaam, unakuta mwanaume anamuita mwanaume mwenzake baba flani na wanaona sawa tu.
Kama mimi mtu unakuta mwanaume mwenzangu ananiita baba Nyangwegwe, au baba Kazurungu. Unajiuliza hivi huyu hajisikii aibu? Na hii naona ni kama utamaduni wa watu wa Dar es Salaam kuita wanaume wenzao baba flani.
Na unakuta mtu anajitambulisha eti naitwa baba flani.
Na mdogo wangu ulivyo mpole si anakuchapa hadi vibao?Sawa dada bora umeclear wingu maana mama klaree mkali kama pilipili
Hapana hawezi kunipiga hajafundwa hivyo.Na mdogo wangu ulivyo mpole si anakuchapa hadi vibao?
Haya, nitakuwa nakuja kukagua usalamaHapana hawezi kunipiga hajafundwa hivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23]kupika, kufua, kuosha vyombo kama kawaida.Na mdogo wangu ulivyo mpole si anakuchapa hadi vibao?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kunitesea mdogo wangu we mwanamke nitakuja nikutie mabao[emoji23][emoji23][emoji23]kupika, kufua, kuosha vyombo kama kawaida.
Haya, nitakuwa nakuja kukagua usalama
Ukija tuu, nimwambia akuchape kwa niaba yangu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kunitesea mdogo wangu we mwanamke nitakuja nikutie mabao
Simlikutana kina mama Beijing mkataka 50/50? Sasa unanisema kwa kukupa nawewe 50?[emoji23][emoji23][emoji23]kupika, kufua, kuosha vyombo kama kawaida.
Ukija tuu, nimwambia akuchape kwa niaba yangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Yaani nimemweka kwenye chupa.
Namringishia Dada yako[emoji23][emoji23][emoji23]Simlikutana kina mama Beijing mkataka 50/50? Sasa unanisema kwa kukupa nawewe 50?