Kwa nini viongozi wa serikali hawachangii ujenzi wa mahekalu ya Wahindu ?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Naona viongozi wa serikali wamejikita katika kuchangia na kusaidia ujenzi wa makanisa na misikiti na kuimarisha miradi ya hizi dini mbili tu huku wakisahau dini nyingine.

Ni vyema viongozi wakumbuke Tanzania kuna dini zaidi ya mbili, ndugu zetu Wahindu tumewatenga sana linapokuja suala la kuchangia na kusaidia mambo yao ya kidini, sijawahi kuona kiongozi yoyote wa serikali akichangia ujenzi wa mahekalu yao au hata vituo vyao afya au shule zao.
 
Wahindi wanachangia kidogo sana kwenye kura za kuwaweka wanasiasa madarakani
 
Pamoja na kwamba kwa asilimia kubwa jamii ya wahindi inachangia uchumi wetu kupitia biashara,viwanda nk,ila naona huwa hawapendi kujichanganya sana na mambo ya serikali, kwasababu wengi wao sio walipaji kodi na wana uoga wa kufuatiliwa na dola ktk mambo yao mengi, huo ni mtazamo tu
 
Naona viongozi wa serikali wamejikita katika kuchangia na kusaidia ujenzi wa makanisa na misikiti na kuimarisha miradi ya hizi dini mbili tu huku wakisahau dini nyingine.

Ni vyema viongozi wakumbuke Tanzania kuna dini zaidi ya mbili, ndugu zetu Wahindu tumewatenga sana linapokuja suala la kuchangia na kusaidia mambo yao ya kidini, sijawahi kuona kiongozi yoyote wa serikali akichangia ujenzi wa mahekalu yao au hata vituo vyao afya au shule zao.
Wanajitosheleza
 
Back
Top Bottom