Wahindi wanachangia kidogo sana kwenye kura za kuwaweka wanasiasa madarakaniNaona viongozi wa serikali wamejikita katika kuchangia na kusaidia ujenzi wa makanisa na misikiti na kuimarisha miradi ya hizi dini mbili tu huku wakisahau dini nyingine.
Ni vyema viongozi wakumbuke Tanzania kuna dini zaidi ya mbili, ndugu zetu Wahindu tumewatenga sana linapokuja suala la kuchangia na kusaidia mambo yao ya kidini, sijawahi kuona kiongozi yoyote wa serikali akichangia ujenzi wa mahekalu yao au hata vituo vyao afya au shule zao.
Suala ni wapo wangapi wakati wa kampeni na uchaguzi?Hayo mengine ni usanii tu.Beware of conmen!Kule Fedha haramu hazitakiwi
WanajitoshelezaNaona viongozi wa serikali wamejikita katika kuchangia na kusaidia ujenzi wa makanisa na misikiti na kuimarisha miradi ya hizi dini mbili tu huku wakisahau dini nyingine.