Kwa nini Waafrika Wakristo wanaogopa kuwapa jina la Yesu watoto wao wa kiume?
Ulaya, Marekani Kusini na Kaskazini watoto wanapewa Jina la Yesu, Waarabu na Waislamu wanawapa watoto jina la Issa, Waafrika Wagalatia tu ndio wanaogopa kuwapa hili jina watoto wao !
Kuna mkristo mmoja niliwahi kumuuliza hili swali kitambo kidogo, jibu alilonipa ni kwamba, huwa wanaogopa ukimuita mtoto Yesu halafu akaja kuwa mwizi au mzinzi basi unakuwa umemvunjia Mungu heshima.