Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano:
Jeshi la police: 80% ya RPC NI WACHAGA
CRDB: 75% YA BRANCH MANAGER'S TANZANIA NI WACHANGA
ONGEZEA!!!!!!!!!!!!!!!!
Ni kweli, kama hataki aacheSio kweli, inaweza kuonekana ni Ubaguzi, lakini sababu kubwa hasa ya hao unaowaita Wachaga kuchukua nafasi nyingi kubwa, ni kwamba Mkoa wa KLM ndio unaoongoza kwa Elimu TZ na imekuwa hivyo kwa sababu za kihistoria, Hakuna Mkoa ambao unatilia mkazo Elimu kama KLM, na hakuna Mkoa wenye shule nyingi kama KLM, na imekuwa hivyo kwa karibu miaka 100, hivyo haishangazi popote unapoenda TZ au nje ya TZ utakuta watu wa KLM ndio wana kazi nzuri!Hata ukienda kwenye Vyuo Vikuu, vitengo vingi vinaongozwa na watu waliosoma KLM, ukienda Nairobi Kenya UN, ukiwa na mawazo kama yako utasema pia kuna Ubaguzi kwa maana karibu kila mfanyakazi Mtanzania utakayemuona amesomea mkoa wa KLM, sasa UN wanajua nini kuhusu huo unaouita Uchaga au sio Uchaga? hivyo sio Ubaguzi bali ni kwamba Mkoa wa KLM umebahatika kutambua umuhimu wa ELIMU tangu zamani sana kwa sababu za kihistoria!
Mfano:
Jeshi la police: 80% ya RPC NI WACHAGA
CRDB: 75% YA BRANCH MANAGER'S TANZANIA NI WACHANGA
ONGEZEA!!!!!!!!!!!!!!!!
TRA pia.[Sasa kama wamepata kusoma kuhusu idara ya mapato kwanini wasipate?
Acheni kumponda mleta mada,ni kweli wachaga na wapare ni wapendeleaji sana ktk nafasi bora za kazi! Hata kama mna elimu sawa, watakupanga mikoa isiyo na maendeleo na wao kujipanga maeneo yenye maslahi.Na kuna nafasi nyingini hazihitaji elimu kubwa, ila wanafanya unyama tu! kifupi ni kweli tupu!Ni kweli, kama hataki aache
nafikiri upo sawa kabisa...Acheni kumponda mleta mada,ni kweli wachaga na wapare ni wapendeleaji sana ktk nafasi bora za kazi! Hata kama mna elimu sawa, watakupanga mikoa isiyo na maendeleo na wao kujipanga maeneo yenye maslahi.Na kuna nafasi nyingini hazihitaji elimu kubwa, ila wanafanya unyama tu! kifupi ni kweli tupu!
sio kweli, inaweza kuonekana ni ubaguzi, lakini sababu kubwa hasa ya hao unaowaita wachaga kuchukua nafasi nyingi kubwa, ni kwamba mkoa wa klm ndio unaoongoza kwa elimu tz na imekuwa hivyo kwa sababu za kihistoria, hakuna mkoa ambao unatilia mkazo elimu kama klm, na hakuna mkoa wenye shule nyingi kama klm, na imekuwa hivyo kwa karibu miaka 100, hivyo haishangazi popote unapoenda tz au nje ya tz utakuta watu wa klm ndio wana kazi nzuri!
Hata ukienda kwenye vyuo vikuu, vitengo vingi vinaongozwa na watu waliosoma klm, ukienda nairobi kenya un, ukiwa na mawazo kama yako utasema pia kuna ubaguzi kwa maana karibu kila mfanyakazi mtanzania utakayemuona amesomea mkoa wa klm, sasa un wanajua nini kuhusu huo unaouita uchaga au sio uchaga? Hivyo sio ubaguzi bali ni kwamba mkoa wa klm umebahatika kutambua umuhimu wa elimu tangu zamani sana kwa sababu za kihistoria!
Hivi zinazoitwa sababu za kihistoria ndo zipi vile.....??.MAANA TUKIJUA HIZO SABABU ZA KIHISTORIA MAANA YAKE ITAKUWA VICEVERSA KWA WAIO WACHAGHA
BOSCONTAGANDA upo sahihi kabisamimi nimwsoma vyuo zaidi ya vitano hapa nchini na kila chuo wachaga walikuwa wengi kuliko makabila mengine wakifuatiwa na wahaya.
sasa naomba uniambie hawa wakimaliza shule unaqtaka wakwere wawe wengi maofosini?
mimi si mchaga ila napenda jinsi wanavyosrago na maisha acheni kuwaonea.