Kwa nini Wachaga Wanawapenda Wasukuma??

ulinago amayemu, nalihaya nakakunge sheli ihaha angu ishidiku shazunyaga ehaha

nde na heka ja mchele bhabha, nalapone hukwinhya nang'ho

lekaga okobheha amanjem mami!!!!
 
mabint wa kichaga wanawapenda wasukuma kwa kuwa ni wapole, hivyo ni rahisi kwao kuwaweka kwenye control, tofauti na akinikamata mi mchaga mwenzie, maana tunajuana haswa, bifu zetu kati ya mume na mke ma bro huingilia kati, hakuna kitu anachochukia kaka wa kichaga kuona dada yake anateswa kisa mume, tunambeba na biashara au kazi tunamtafutia
 
sure yan npo chuo moshy jamaa wa ksukuma wanawado wtt wa kchaga
 
mkuu uko perfect kabisa hapo....
 

Hongera sana you fooled me into thinking that you are a lady!!
 
Nguli uko wapi??
sioni mchango wako?
Au nimekukwaza !!.......(utanisamehe)
 
afu wasukuma wengi wanapenda totoz nyeupe na wachagga wengi ni weupe
 
afu tunapewa bure bila mahari
kwetu kitu nyeupe lazima uwe na pesa baba
kweli,wangu alitoa ng'ombe 50,akapigiwa hesabu kila ng'ombe elfu 20.Nakibhuja sana nikasema najinjiwa lulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…