Kwa nini Wachaga Wanawapenda Wasukuma??

Wasukuma watu humble sana, hawana makuu kabisa. Ila huyu jamaa wetu huyu sidhani kama ni msukuma
 
Ila baada ya muda mrefu wanawake wa kisukuma wanataka kutuangusha
 
Hii inatokana na nini?
Wanawake wa Kichagga wanapenda pesa kuliko kitu chochote na akiamua kuchagua kati ya penzi na pesa, atachagua pesa!, na wanaume wa Kisukuma ndio wanaoongoza kwa kupenda na kuhonga, kwa mwanaume wa Kisukuma pesa sio kitu mbele ya penzi, haswa huyo mwanamke akiwa ni mweupe, opposite attract, hivyo wanawake wa Kichagga wanafuata law of attraction kwa Wasukuma. Wao wanapenda pesa, kwenye pesa atatoa penzi, Wasukuma hawapendi pesa, wanapenda penzi, hivyo watatumia pesa kupatia penzi, Wasukuma ndio wanaume wanaoongoza kwa kuhonga, hivyo kuwaloga wanawake weupe wa kichagga/kipare kwa uchawi wa kizungu!, ila sisi Wasukuma tunachowapendea wanawake wa Kichagga, ni maendeleo. Ingekuwa issue ni weupe tuu, basi Wasukuma tungewaoa sana Wapare, Wambulu, Warangi, Wanyaturu, maana makabila yote hayo wanawake wao ni weupe kuliko Wachagga, lakini chati ya kuolewa inaongozwa na wanawake wa Kichagga!.
P.
 
Tunawepanda sababu na wao wanatupenda,

Kiukweli kutoka moyoni mwangu hamna kabila tz nalikubali kama wasukumaa

Kwanza ni wastaarabu wakarimu...

Nilipataga mchumba wakisukuma alinipenda mnoo mpk akawa ananilipia ada , ila tulishidwana sehemu moja tu

Wivuuuu hawa watu nihataree
 
Je ni kweli hua mnaegemea uchagani zaidi na kusahau familia zenu za mwanzo?
 
uko sawa kaunga?
 
Kwa waliooana kwa kufahamiana Vyuoni au makazini ni sababu wasukuma kwa wasukuma wakikutana sehemu hizo wao wanakuwa dada na kaka,hata kama sio ndugu,so unakuta wanaoa au kuolewa na wachaga au kabila lingine
Nikweli wao huwa dada na kaka wawapo sehemu tofauti na kwao sijui kwann.
 
Asopenda wasukuma nani?
mimi mwenyewe nawapenda wanajali kweli[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] S/o kwa wakina kakawasukuma jamani nawalove[emoji8][emoji8][emoji8]

Msukuma wangu popote ulipo motema nangai[emoji7] [emoji7] [emoji7]
 
yeuwi wasukuma wana wivu jamani
halafu wanapenda msambwanda[emoji23] [emoji23]
kama una msambwanda afu mweupe utaopoa wasukuma kama vibua...
ukiongeza na Titi hapo utaopoa wapemba mpaka uchoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…