KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,816
Wanapenda wakurya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake wa Kichagga wanapenda pesa kuliko kitu chochote na akiamua kuchagua kati ya penzi na pesa, atachagua pesa!, na wanaume wa Kisukuma ndio wanaoongoza kwa kupenda na kuhonga, kwa mwanaume wa Kisukuma pesa sio kitu mbele ya penzi, haswa huyo mwanamke akiwa ni mweupe, opposite attract, hivyo wanawake wa Kichagga wanafuata law of attraction kwa Wasukuma. Wao wanapenda pesa, kwenye pesa atatoa penzi, Wasukuma hawapendi pesa, wanapenda penzi, hivyo watatumia pesa kupatia penzi, Wasukuma ndio wanaume wanaoongoza kwa kuhonga, hivyo kuwaloga wanawake weupe wa kichagga/kipare kwa uchawi wa kizungu!, ila sisi Wasukuma tunachowapendea wanawake wa Kichagga, ni maendeleo. Ingekuwa issue ni weupe tuu, basi Wasukuma tungewaoa sana Wapare, Wambulu, Warangi, Wanyaturu, maana makabila yote hayo wanawake wao ni weupe kuliko Wachagga, lakini chati ya kuolewa inaongozwa na wanawake wa Kichagga!.Hii inatokana na nini?
Yupi tena?Yule mpenz wako msukuma bado unaye au nijitose mimi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]kudadadadadeki, kumbe Massawe ananiibia!!!!
Naenda kwa Ng'wizukulu wo Ng'wana Malundi
Je ni kweli hua mnaegemea uchagani zaidi na kusahau familia zenu za mwanzo?Wanawake wa Kichagga wanapenda pesa kuliko kitu chochote, na wanaume wa Kisukuma ndio wanaoongoza kwa kuhonga, haswa huyo mwanamke akiwa ni mweupe, hivyo Wasukuma ndio wanaoongoza kwa kuwalogo wanawake weupe wa kichagga/kipare kwa uchawi wa kizungu!, ila sisi Wasukuma tunachowapendea wanawake wa kichagga, ni maendeleo. Ingekuwa ni weupe tuu, basi Wasukuma tungewaoa sana Wapare, Wambulu, Warangi, Wanyaturu, maana makabila yote hayo wanawake wao ni weupe kuliko Wachagga, lakini chati ya kuolewa inaongozwa na wanawake wa Kichagga!.
P.
True!.Je ni kweli hua mnaegemea uchagani zaidi na kusahau familia zenu za mwanzo?
True!.Je ni kweli hua mnaegemea uchagani zaidi na kusahau familia zenu za mwanzo?
True!.Je ni kweli hua mnaegemea uchagani zaidi na kusahau familia zenu za mwanzo?
uko sawa kaunga?Wasukuma wanapenda wanawake weupe; wachagga wanapenda mali za wasukuma!
Ila wanaume wengi wa kisukuma wakioa wachaga; husahau extended family hata immediate mf kaka na dada zao, na hujikuta wakibase uchagani zaidi. Na hata watoto wakizaliwa hujiona wachaga zaidi kuliko wasukuma. Hii nimeiona kwa zaidi 90% za couple mix (mume msukuma, mke chagga); actually couple zote ninazozifahamu (more than 5 na less than 10.
Nikweli wao huwa dada na kaka wawapo sehemu tofauti na kwao sijui kwann.Kwa waliooana kwa kufahamiana Vyuoni au makazini ni sababu wasukuma kwa wasukuma wakikutana sehemu hizo wao wanakuwa dada na kaka,hata kama sio ndugu,so unakuta wanaoa au kuolewa na wachaga au kabila lingine
Ni kwanini hua hivo sasa mpaka msahau kwenu?True!.
P.
yeuwi wasukuma wana wivu jamaniTunawepanda sababu na wao wanatupenda,
Kiukweli kutoka moyoni mwangu hamna kabila tz nalikubali kama wasukumaa
Kwanza ni wastaarabu wakarimu...
Nilipataga mchumba wakisukuma alinipenda mnoo mpk akawa ananilipia ada , ila tulishidwana sehemu moja tu
Wivuuuu hawa watu nihataree