secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Wakuu nimekuwa nikisikiliza redio nyingi ambazo siyo maarufu nchini hasa vipindi vya michezo na nilichogundua ni kuwa hawa wachambuzi wa soka wa hivi viredio wanachukua Kila kitu kutoka kwa wachambuzi wa redio maarufu hapa nchini kama E FM, Wasafi, Crown FM na Clauds FM.
Lea asubuhi nilikuwa nasikiliza uchambuzi wa soka kupitia Crown FM halafu mchana nikabadili stesheni nikakuta kiredio fulani kidogo kinachambua soka nikagundua kuwa wachambuzi wake wame copy na ku pest Kila kitu kutoka kwa wachambuzi wa Crown FM.
Kilichonitia kichefuchefu hata nikatapika ni kuwa wachambuzi wale walikuwa wanaiga sauti ya Jemedari Said na Jof lea duh!.
Nimeficha jina la redio ili ninyi pia msije mkajaribu kusikiliza mkatapika. Ila nina uhakika ngara23 anawakubali wachambuzi wa aina ile.