Kwa nini wachambuzi wa soka wa redio ambazo siyo maarufu wana tabia ya kuwasikiliza wachambuzi wa redio maarufu na kuwakariri?

Kwa nini wachambuzi wa soka wa redio ambazo siyo maarufu wana tabia ya kuwasikiliza wachambuzi wa redio maarufu na kuwakariri?

Sasa umesikia kiredio kimoja tu, umekuja na mada inayosema kwa nini viredio vidogo as if umesikiliza nyingi. Kuwa na utafiti wa kutosha na hata hivyo unazoziita maarufu ujui wana copy na paste kutoka vyanzo vikubwa? Hance ni copier wa Micky, ukisikia tetesi ujue chanzo David Oinstein au mzee wa Here we Go Fabrizio Romano. Kipi kinacho kushangaza?
Mkuu nimezisikiliza nyingi Sana lakini hii ya leo imezidi. Halafu siyo Kila kitu unakopi, wachambuzi wankile kiredio walikuwa wanakopi Kila kitu hadi nukta, walikuwa wanakopi utadhani walikuwa wanaandika kilichokuwa kinasemwa na akina Bin kazumari. Yaani hata sauti walikuwa wanaiga.

Redio zingine zipigwe tu ban maana zinaharibu jamii.
 
Mimi naamini nikijikita kwenye hiyo kazi naweza kuwapiga makwaju wengi sana, licha ya kuwa sina taaluma nayo wala uzoefu.
 
Si kweli bongo Kuna wachambuzi wazuri mfano Ambangile pia Joff Lea ni mchambuzi mzuri sana sema tu sometimes hua anafanya mambo yake anayoyajua yy
Wachache wanajitahidi ila wengi wao wanauzumgumzia Mpira utafikiri hawana ubongo.
 
Back
Top Bottom