Kwa nini wachambuzi wa soka wa redio ambazo siyo maarufu wana tabia ya kuwasikiliza wachambuzi wa redio maarufu na kuwakariri?

Kwa nini wachambuzi wa soka wa redio ambazo siyo maarufu wana tabia ya kuwasikiliza wachambuzi wa redio maarufu na kuwakariri?

Mbona huzungumzii 5imba wanaoshiriki mashindano ya akina mama
Au 5imba wanacheza rede au upatu
Wala usiwazungumzie simba kwa maana wanauzoefu wa kutosha na hii michuano siyo kama Yanga ambao wamebahatisha kwenye misimu mwili iliyopita.
 
Wana uzoefu na wapo kwenye mashindano ya akina mama
Kumbuka Yale mashindano ndiyo yaliyowapa jina, nashangaa leo mnayaona hayana maana.
Ama kweli tasa akipata mimba anatema mate Kila baada ya sekunde.
 
Back
Top Bottom