Kwa nini wachambuzi wa soka wa redio ambazo siyo maarufu wana tabia ya kuwasikiliza wachambuzi wa redio maarufu na kuwakariri?

Mkuu nimezisikiliza nyingi Sana lakini hii ya leo imezidi. Halafu siyo Kila kitu unakopi, wachambuzi wankile kiredio walikuwa wanakopi Kila kitu hadi nukta, walikuwa wanakopi utadhani walikuwa wanaandika kilichokuwa kinasemwa na akina Bin kazumari. Yaani hata sauti walikuwa wanaiga.

Redio zingine zipigwe tu ban maana zinaharibu jamii.
 
Mimi naamini nikijikita kwenye hiyo kazi naweza kuwapiga makwaju wengi sana, licha ya kuwa sina taaluma nayo wala uzoefu.
 
Mimi naamini nikijikita kwenye hiyo kazi naweza kuwapiga makwaju wengi sana, licha ya kuwa sina taaluma nayo wala uzoefu.
Siyo wewe tu, hata mke wako anawashinda wale maamuma.
 
Si kweli bongo Kuna wachambuzi wazuri mfano Ambangile pia Joff Lea ni mchambuzi mzuri sana sema tu sometimes hua anafanya mambo yake anayoyajua yy
Wachache wanajitahidi ila wengi wao wanauzumgumzia Mpira utafikiri hawana ubongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ