ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 9,091 Reaction score 21,087 Dec 7, 2024 #41 secretarybird said: Mkuu kama ulifungwa magoli mawili nyumbani na wakimbizi kutoka Sudan unadhani Leo utafungwa ngapi. Click to expand... Mbona huzungumzii 5imba wanaoshiriki mashindano ya akina mama Au 5imba wanacheza rede au upatu
secretarybird said: Mkuu kama ulifungwa magoli mawili nyumbani na wakimbizi kutoka Sudan unadhani Leo utafungwa ngapi. Click to expand... Mbona huzungumzii 5imba wanaoshiriki mashindano ya akina mama Au 5imba wanacheza rede au upatu
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 2,998 Reaction score 4,948 Dec 7, 2024 Thread starter #42 ngara23 said: Mbona huzungumzii 5imba wanaoshiriki mashindano ya akina mama Au 5imba wanacheza rede au upatu Click to expand... Wala usiwazungumzie simba kwa maana wanauzoefu wa kutosha na hii michuano siyo kama Yanga ambao wamebahatisha kwenye misimu mwili iliyopita.
ngara23 said: Mbona huzungumzii 5imba wanaoshiriki mashindano ya akina mama Au 5imba wanacheza rede au upatu Click to expand... Wala usiwazungumzie simba kwa maana wanauzoefu wa kutosha na hii michuano siyo kama Yanga ambao wamebahatisha kwenye misimu mwili iliyopita.
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 9,091 Reaction score 21,087 Dec 7, 2024 #43 secretarybird said: Wala usiwazungumzie simba kwa maana wanauzoefu wa kutosha na hii michuano siyo kama Yanga ambao wamebahatisha kwenye misimu mwili iliyopita. Click to expand... Wana uzoefu na wapo kwenye mashindano ya akina mama
secretarybird said: Wala usiwazungumzie simba kwa maana wanauzoefu wa kutosha na hii michuano siyo kama Yanga ambao wamebahatisha kwenye misimu mwili iliyopita. Click to expand... Wana uzoefu na wapo kwenye mashindano ya akina mama
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 2,998 Reaction score 4,948 Dec 7, 2024 Thread starter #44 ngara23 said: Wana uzoefu na wapo kwenye mashindano ya akina mama Click to expand... Kumbuka Yale mashindano ndiyo yaliyowapa jina, nashangaa leo mnayaona hayana maana. Ama kweli tasa akipata mimba anatema mate Kila baada ya sekunde.
ngara23 said: Wana uzoefu na wapo kwenye mashindano ya akina mama Click to expand... Kumbuka Yale mashindano ndiyo yaliyowapa jina, nashangaa leo mnayaona hayana maana. Ama kweli tasa akipata mimba anatema mate Kila baada ya sekunde.