TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 6,767
- 20,869
Nimemaanisha ulevi wa madaraka mkuu, sio wa pombe 🙌Ondoa ULEVI haraka Sana Katika list yako
Nimemaanisha ulevi wa madaraka mkuu, sio wa pombe 🙌Ondoa ULEVI haraka Sana Katika list yako
Kutokujiamini.Kwa nini waarabu wanatamani dini yao ya Islam iwe dunia nzima?
kwani mzungu alifanya nini wakuu? 😁 like same sameThe real question is..
kwanini waislam wanatamani dunia nzima iwe islam?
Dini ni jambo binafsi sana lisilohitaji misukumo ya kibinadamu.. Ukiona dini inalazimisha kuaminiwa jua kuna tatizo kubwa nyuma yakeWachina wanadini ZAO, wahindi ndio balaa. CA ajabu watu wa haya maeneo hawana kiu kubwa ya kutaka watu wajiunge na dini yao kama Waarabu.
Sababu ni nini?
Hii ndo pointKuna dini zenye malengo ya kuwafungua watu kiakili (enlightenment).
Kuna dini za kuwapumbaza watu kiakili ili watawalike kirahisi (enslavement).
Sababu kubwa ni ile desturi ya kuamini katika matabaka au kubaguana. Wao wanajiona bora zaidi na kilicho chao kinastahiri kuwa chao na sio cha wengine. Wenyewe kwa wenyewe wanamatabaka yao hasa wahindi, ukiwa maskini basi huruhusiwi kusogerea vya matajiri. Dini yao kwa mtazamo huo wanaona ni kitu chao wengine hawastahiri kuwa nacho.Wachina wanadini ZAO, wahindi ndio balaa. CA ajabu watu wa haya maeneo hawana kiu kubwa ya kutaka watu wajiunge na dini yao kama Waarabu.
Sababu ni nini?
Pia ukiona inazuiwa kuna tatizo, inatakiwa kushawishi bila nguvuDini ni jambo binafsi sana lisilohitaji misukumo ya kibinadamu.. Ukiona dini inalazimisha kuaminiwa jua kuna tatizo kubwa nyuma yake
Waarabu ?.Hapo hakuna dini ni genge la wahuni.
Dini ni jambo binafsi sana lisilohitaji misukumo ya kibinadamu.. Ukiona dini inalazimisha kuaminiwa jua kuna tatizo kubwa nyuma yake
WACHINA wanaakili kubwa waarabu washalaaniwa na ushogaWachina wanadini ZAO, wahindi ndio balaa. CA ajabu watu wa haya maeneo hawana kiu kubwa ya kutaka watu wajiunge na dini yao kama Waarabu.
Sababu ni nini?