Ndio wtz hatujui ng'eng'e kwani ni uongo?? Injinia soma hiyo... interepinyuaship!!!!!!
Pitia pitia kwenye sites za kitalii na 'expartriates' ambao huwa wanazuru Afrika mashariki. Mfano mzuri ni Lonely Planet. Humo ndani kuna 'reviews' kuhusu Kenya, Ug na Tz na utaona kwamba kila mara watalii na expats huwa wanasema Tz kuna tashwishi kwenye communication tofauti na Kenya na Uganda. Usikomalie tu kwenye umbea kama mnavokomalia kwenye kiswahili. Inawakosti sana.
Baadhi ya wakenya ni mambulula sana..Imagine kuna siku nilimsikia mtangazaji wa redio ya kenya akisema kuwa million moja ya kenya ni billioni ukiichange to tsh..wanajiona wapo juu juu kwenye kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ni kosa kuijua hiyo lugha?Kwani ni Kosa kutojua Hiyo Lugha?
Wapuuzi hawa jamaa, bado wanasheherekea birthday ya Malkia Elizabeth mpaka leo. Alafu english wanajifunza kila neno katika dictionary mpaka yale ya karne ya 13 kiasi hata mzungu wa sasa hawezi kuelewa wakio gea
Hao wazungu wenyewe wakija tz wanajifunza kiswahiliMnazungumza na Wazungu kwa lugha ya Kichagga au Kisukuma?
Wa Kenya wanadharau sana. Kuwathibitishia kuwa sisi wa TZ tunakijua zaidi yao hicho Kimombo, ni kuwakutanisha MA- RAIS wetu, yaani Kenyata na JPM tuone! Waongeeee weeeeeee, mliobahatika kukijua vizuri, mtoe maksi.Kuna Tawala tofaufi duniani, ukitaka kuwa makini, kuhakikisha unaheshimika duniani, ongea lugha yao, chukua hata darasa la siri kwa miezi 6 au 12. Hii ndio kwa sasa hivi language ya dunia (English). Kiukweli ni rahisi kuliko kitanzania na misamiati yake.
ni kweli Bongo kiingereza kinatusumbua Ila hakijawahi kutukosesha hela.sasa Kenya wanaokijua mbona kama hatunat ofauti yoyote ile kimaisha.tena wao ndiyo kama wako choka mbaya.Upumbavu mtupu kuanza kuwazia hili