Kwa nini Wakenya pekee ndio hudai Watanzania hawajui Lugha ya Kingereza?

Kwa nini Wakenya pekee ndio hudai Watanzania hawajui Lugha ya Kingereza?

Baadhi ya wakenya ni mambulula sana..Imagine kuna siku nilimsikia mtangazaji wa redio ya kenya akisema kuwa million moja ya kenya ni billioni ukiichange to tsh..wanajiona wapo juu juu kwenye kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pitia pitia kwenye sites za kitalii na 'expartriates' ambao huwa wanazuru Afrika mashariki. Mfano mzuri ni Lonely Planet. Humo ndani kuna 'reviews' kuhusu Kenya, Ug na Tz na utaona kwamba kila mara watalii na expats huwa wanasema Tz kuna tashwishi kwenye communication tofauti na Kenya na Uganda. Usikomalie tu kwenye umbea kama mnavokomalia kwenye kiswahili. Inawakosti sana.

Lete huo ushahidi
 
Baadhi ya wakenya ni mambulula sana..Imagine kuna siku nilimsikia mtangazaji wa redio ya kenya akisema kuwa million moja ya kenya ni billioni ukiichange to tsh..wanajiona wapo juu juu kwenye kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app

Wapo very Ignorant, aisee hawa jamaa akili zao ni kama za Kuku.
 
Tuweke English from checkechea hadi Unirvesity pamoja na Kiswahili. Hatuna cha kupoteza lakini tutapata knowledge ya kutosha. Most of the all best world knowledge is in English.
 
Kuna Tawala tofaufi duniani, ukitaka kuwa makini, kuhakikisha unaheshimika duniani, ongea lugha yao, chukua hata darasa la siri kwa miezi 6 au 12. Hii ndio kwa sasa hivi language ya dunia (English). Kiukweli ni rahisi kuliko kitanzania na misamiati yake.
 
Wapuuzi hawa jamaa, bado wanasheherekea birthday ya Malkia Elizabeth mpaka leo. Alafu english wanajifunza kila neno katika dictionary mpaka yale ya karne ya 13 kiasi hata mzungu wa sasa hawezi kuelewa wakio gea

Huu ufala utaupata tu Kwa Wakenya,
Halafu kwenye coments eti wanasema wao ni Bora kuliko US kwenye English,
 
Wakenya tupo sawa lugha kadhaa zikiwemo zetu za asili alafu ongezea Kiswahili, kiingereza , Mandarin, German, Spanish, French n.k.
Ndio sababu tunaongoza ukanda huu kiuchumi otherwise tungekuwa mabongolala kama wenzetu wapoteza mila na watumwa wa shamba la bibi.
 
the only thread in subsection of kenya forum that has been visited three million times(number of views), created by a tanzanian in january 2017. two consecutive years at the top of the most trending threads.

it expects to get more visitors in 2019.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Screenshot_2019-01-02-08-49-30-707_com.quoord.jamiiforums.activity.jpeg
 
Kuna Tawala tofaufi duniani, ukitaka kuwa makini, kuhakikisha unaheshimika duniani, ongea lugha yao, chukua hata darasa la siri kwa miezi 6 au 12. Hii ndio kwa sasa hivi language ya dunia (English). Kiukweli ni rahisi kuliko kitanzania na misamiati yake.
Wa Kenya wanadharau sana. Kuwathibitishia kuwa sisi wa TZ tunakijua zaidi yao hicho Kimombo, ni kuwakutanisha MA- RAIS wetu, yaani Kenyata na JPM tuone! Waongeeee weeeeeee, mliobahatika kukijua vizuri, mtoe maksi.
 
ni kweli Bongo kiingereza kinatusumbua Ila hakijawahi kutukosesha hela.sasa Kenya wanaokijua mbona kama hatunat ofauti yoyote ile kimaisha.tena wao ndiyo kama wako choka mbaya.Upumbavu mtupu kuanza kuwazia hili
 
Infact Hiki tunachokijua kinatosha kabisa kuwasiliana na dunia, sijui jamaa wanataka tuwe kama Walimu wa Language
 
Back
Top Bottom