Hili nalo neno
Haha hii ni kali broWapuuzi hawa jamaa, bado wanasheherekea birthday ya Malkia Elizabeth mpaka leo. Alafu english wanajifunza kila neno katika dictionary mpaka yale ya karne ya 13 kiasi hata mzungu wa sasa hawezi kuelewa wakio gea
Wengine wenu hata kuomba maji kwa kiingereza hamuweziInfact Hiki tunachokijua kinatosha kabisa kuwasiliana na dunia, sijui jamaa wanataka tuwe kama Walimu wa Language
Kiswahili ni nzuri, lakini kitakupeleka wapi apart from Kenya na Tanzagiza?
The world is increasingly becoming a global village. Heri wakenya Tunajua kiingereza, kiswahili pamoja na lugha zingine.
Mimi mwenyewe naweza zungumza Kiingereza, kiswahili, kifaransa na napanga kujifunza Mandarin (Kenya na China sikuhizi [emoji23])
Mtabakia nyuma sana. Mjitahidi mandugu zetu wasiojielewa.View attachment 983745
Maji huwa yanatumiwa tu kama mfano, kujua maneno kadhaa ya kuomba papuchi ndio kitu cha muhimu zaidi. 😎Sasa unaombaje maji Kwa Kingereza, hayo maji anayo mzungu mpaka tuombe kwa Kingereza?
Maji huwa yanatumiwa tu kama mfano, kujua maneno kadhaa ya kuomba papuchi ndio kitu cha muhimu zaidi. 😎
Nilikuelekeza hadi kwenye site za usafiri kwa watalii na expats ambazo wengi wao huwa wanatumia kupata reviews. Nikakupa hadi mfano mmoja, Lonely Planet ila wewe ukanijibu eti nije na ushahidi. Spoonfeeding ndio zenu. Kama hujui siri moja ya Kenya kuwa na makao makuu ya kampuni kubwa na viwanda vingi kutoka kwa wawekezaji wa kimataifa ndio hiyo. 'Workforce' ambayo ni rahisi kuelewana nayo.Ushawahi ona complains toka huko ulaya, marekani au Asia au Africa Kusini au Uganda au Kokote kuhusu watanzania kutojua kingereza?
Hiyo dhana ya kuwa Watz hawajui kiingereza Nyie mliitoa wapi?
Mbona wewe hapo hata kuandika 'rugha' 'unayoifahamu vizuri', ya kiswahili, unaandika na 'rafudhi' ya kisukuma lakini tunakausha tu?Ivi wakenya wanaongeaga kingereza au kiluga?
Kingereza kina rafudhi mbaya kuliko ubaya wenyewe. Mchukue mtanzania anaejua kingereza na mkenye anaejuea kingereza usikie rafudhi zao,
rafudhi ya mkenya kama anaongea kikamba sio kikamba kijaruo sio kijaruo kiruya siko kiruya. Tuacheni na Rugha yetu ya kimataifa jamani.
Ntawaona wa maana sana siku nikisikia kikamba au kijaruo ni rugha ya kimataifa.