Kwa nini Wakenya pekee ndio hudai Watanzania hawajui Lugha ya Kingereza?

Kwa nini Wakenya pekee ndio hudai Watanzania hawajui Lugha ya Kingereza?

Kiswahili ni nzuri, lakini kitakupeleka wapi apart from Kenya na Tanzagiza?

The world is increasingly becoming a global village. Heri wakenya Tunajua kiingereza, kiswahili pamoja na lugha zingine.

Mimi mwenyewe naweza zungumza Kiingereza, kiswahili, kifaransa na napanga kujifunza Mandarin (Kenya na China sikuhizi [emoji23])

Mtabakia nyuma sana. Mjitahidi mandugu zetu wasiojielewa.
IMG_20190102_135938_760.jpeg
 
Lugha ambayo inatumika na watu wengi ndiyo inapaswa kuwa powerful. Mzungu hawezi kuweka neno powerful halafu ndani ataje kitu chochote kuhusu Africa. Kama powerful language ina uhusiano na utajiri wa eneo inapozungumzwa basi Japanese ilibidi iwe juu zaidi hapo. English ni muhimu ila tusi kibeze Kiswahili, E.A ina chance kubwa ku influence hii lugha kuwa ya Ki dunia. Kenyans kwenye hili mnateteleka. Sijawahi muona Uhuru ata mara moja akiongea Kiswahili akiwa kwenye makongamano ya Kimataifa. Kwenye yale maongezi ya pembeni sawa, ila kwenye hotuba wakalimani wapo, mara moja moja siyo mbaya akawa anachapa Kiswahili kama Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, na Magufuli ambavyo wamefanya mara kadhaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapuuzi hawa jamaa, bado wanasheherekea birthday ya Malkia Elizabeth mpaka leo. Alafu english wanajifunza kila neno katika dictionary mpaka yale ya karne ya 13 kiasi hata mzungu wa sasa hawezi kuelewa wakio gea

Haha hii ni kali bro
 
kwani ni uongo?...broken english and wabngo zinaendana kama blueband na tosti😀😀
 
i had a kenyan chick and she was so perplexed with the english accent that i had
 
hawa wenzetu hawaelewi kuwa nchi nyingi sasa zinaenda na wakati....kwa sasa mpaka wachina wanazungumza kiingereza sana kisa ndio lugha ya dunia kwa wakati huu....ndio maana tunawashinda kwa biashara, utalii na maendeleo kwa ujumla..kiswahili tunazungumza, kiingereza tunazungumza pia kwa ajili ya biashara na mambo mengi tu..ni advantage sasa kuwa multilingual...huwa tunaenda na wakati sie
 
Kiswahili ni nzuri, lakini kitakupeleka wapi apart from Kenya na Tanzagiza?

The world is increasingly becoming a global village. Heri wakenya Tunajua kiingereza, kiswahili pamoja na lugha zingine.

Mimi mwenyewe naweza zungumza Kiingereza, kiswahili, kifaransa na napanga kujifunza Mandarin (Kenya na China sikuhizi [emoji23])

Mtabakia nyuma sana. Mjitahidi mandugu zetu wasiojielewa.View attachment 983745

Pengine hayo malalamishi yangeletwa na wageni, yaani Wazungu yangekuwa na mantiki, ila ajabu yanaletwa na Wakenya,
 
Sijawahi sikia Tanzania imehitaji wakalimani wa Kingereza,
Hii inamaanisha tunajua kingereza,
 
Ivi wakenya wanaongeaga kingereza au kiluga?
Kingereza kina rafudhi mbaya kuliko ubaya wenyewe. Mchukue mtanzania anaejua kingereza na mkenye anaejuea kingereza usikie rafudhi zao,
rafudhi ya mkenya kama anaongea kikamba sio kikamba kijaruo sio kijaruo kiruya siko kiruya. Tuacheni na Rugha yetu ya kimataifa jamani.
Ntawaona wa maana sana siku nikisikia kikamba au kijaruo ni rugha ya kimataifa.
 
Maji huwa yanatumiwa tu kama mfano, kujua maneno kadhaa ya kuomba papuchi ndio kitu cha muhimu zaidi. 😎

Ushawahi ona complains toka huko ulaya, marekani au Asia au Africa Kusini au Uganda au Kokote kuhusu watanzania kutojua kingereza?
Hiyo dhana ya kuwa Watz hawajui kiingereza Nyie mliitoa wapi?
 
Tatizo sio watanzania hawajui english ila ni wageni wanaokuja hawajui Kiswahili. Ni sawa sawa uende China unataka kuongea Kiswahili na wenyeji. Kila mtu akomae na lugha yake ya taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wachina wapo kwenye site sehem fulan hapa Tanzania kuna baadhi hawajui hata kingereza cha Kikuyu cha kuombea maji tena ni moja ya site engineer na katoka kwenye nchi yenyw uchumi mkubwa duniani!!!
Ila hapa kweny swala la wakenya kutucheka watz n jambo la kushangaza sana hata wenyw lugha yao watashangaa kwa kujipendekeza huko[emoji16][emoji16][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
game over ni ngumu Nchi hizo kutaabika na Nchi masikini kama nyinyi kwani hamuwasaaidii na chochote bali na kuwa shamba lao la bibi.
 
Ushawahi ona complains toka huko ulaya, marekani au Asia au Africa Kusini au Uganda au Kokote kuhusu watanzania kutojua kingereza?
Hiyo dhana ya kuwa Watz hawajui kiingereza Nyie mliitoa wapi?
Nilikuelekeza hadi kwenye site za usafiri kwa watalii na expats ambazo wengi wao huwa wanatumia kupata reviews. Nikakupa hadi mfano mmoja, Lonely Planet ila wewe ukanijibu eti nije na ushahidi. Spoonfeeding ndio zenu. Kama hujui siri moja ya Kenya kuwa na makao makuu ya kampuni kubwa na viwanda vingi kutoka kwa wawekezaji wa kimataifa ndio hiyo. 'Workforce' ambayo ni rahisi kuelewana nayo.
 
Ivi wakenya wanaongeaga kingereza au kiluga?
Kingereza kina rafudhi mbaya kuliko ubaya wenyewe. Mchukue mtanzania anaejua kingereza na mkenye anaejuea kingereza usikie rafudhi zao,
rafudhi ya mkenya kama anaongea kikamba sio kikamba kijaruo sio kijaruo kiruya siko kiruya. Tuacheni na Rugha yetu ya kimataifa jamani.
Ntawaona wa maana sana siku nikisikia kikamba au kijaruo ni rugha ya kimataifa.
Mbona wewe hapo hata kuandika 'rugha' 'unayoifahamu vizuri', ya kiswahili, unaandika na 'rafudhi' ya kisukuma lakini tunakausha tu?
 
Back
Top Bottom