Kwa nini Wakenya pekee ndio hudai Watanzania hawajui Lugha ya Kingereza?



Ahaaa haaa haaa
uko sahihi.
kiingereza si ujanja, ingekuwa ujanja waChina wasingewapiga wakenya kwenye SGR.
Teh teh teh tihiii
 
Inabidi ifike hatua hawa mapopoma wa kenyatta wabadilike, nchi yao ndio shamba la bibi inafika hatua hawana hata ardhi Mwl. Nyerere alishawahi kusema "Rasilimali ya kwanza kuitunza kwenye nchi yoyote ni ardhi, ardhi ndio utajiri wetu". Ila hawa jamaa wamegawa ardhi wa wazungu halafu wao wanajisifia kujua kiingereza utumwa wa kifikra huu badilikeni.
Sasa hv ameingia mchina na yy anawanyoosha kinoma mtafundishwa na kichina harafu mtajisifia. POOR KUNYAN

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rafudhi kijaruo kiruya rugha kiluga.
Lol....Makinika bwana
 

Nchi ya Kenya inamilikiwa na Wazungu, na familia ya Kenyatta,
Hawa wengine kitu pekee wanaona ni mafanikio ni Kuzungumza Kingereza, nothing More.
 
Nchi ya Kenya inamilikiwa na Wazungu, na familia ya Kenyatta,
Hawa wengine kitu pekee wanaona ni mafanikio ni Kuzungumza Kingereza, nothing More.
kikikikiii.... tuko 2019 msee. ondoa mawazo chafu na fikra duni.
 
Don't mind them... Tz na Kenya ni kama simna ya yanga...

Deep down we appreciate each other...


Cc: mahondaw
 
Angalia sifa zetu hapo Watanzania,yan tukiwa nje huku hlf unakutana na muafrika yyt yule ktk harakati,tukiulizana tunapotokea ukimuambia ni mbongo hata km mlikaa seat tofauti kwenye train lazima asogee na kuanza story mbali mbali,gear yao kubwa utawasikia nilipokua nchi flan au mji flan nilikua na rafiki,boyfriend au girlfrien mbongo
 
Hapo kwenye pronounce ndio uwa nawakomesha mungiki pale tunapokutana kwenye vijiwe vya kahawa vya nje ya afrika,tena ya lugha zote english na swahili,nishagonga sana mademu wa kikenya kwa kupagawa na kiswahili changu tu [emoji23]
 
Mzungu anamuelewa mtz zaidi akiongea kiingereza,kuliko mkenya.sababu ni lugha mama ya kila sehemu.

Mkenya,mnigeria,mhindi ni miongoni kwa viumbe duniani wana sound vibaya sana wapozungumza kiingereza.
 
Usitegemee wakenya kukikuza kiswahili, wala usijidanganye. Very brainwashed africans

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usitegemee wakenya kukikuza kiswahili, wala usijidanganye. Very brainwashed africans

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli wako brainwashed mpaka raisi wao! Akiwa US anatoa hotuba mbele ya Trump akawa anajaribu kutamka maneno kama wa marekani!! Ilikuwa comedy kwa Trump, Uhuru mpaka watoto wake hawajui Kiswahili vizuri. So sad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nazani kuna unasabaaa mzuri baina ya wakenya na wa Tz yaani mfano ktk social networks wakenya wengi wana chat na waTz ila izi propaganda zinaletwa na wapuuzi walio wachache
 
Mi nazani kuna unasabaaa mzuri baina ya wakenya na wa Tz yaani mfano ktk social networks wakenya wengi wana chat na waTz ila izi propaganda zinaletwa na wapuuzi walio wachache
Cha kutamausha kupitiliza ni kwamba hawa wanaoibuka na hizi propaganda kila uchao sio vijana eti, ni wazee walokomaa, na midevu yao, hadi na ule ukucha wa jogoo. Utawapata wamekomalia kwenye nyuzi za ligi, A vs. B, na umbea wa tuna hili nyie hamna ila kwenye mada za masuala msingi kama elimu, afya, maendeleo, demokrasia na nafasi yetu duniani kama waafrika hutawaona kamwe.
 
hahahahahahahah wanahitaji mental therapy
 
Lol. .kw nini watanzania pekee ndio hudai waKenya ndio watu weusi Pekee duniani kote ?
Nyie ni waafrika weupe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…