Hii kitu ya Kenya vs Tanzania imekuwa kwenye kila nyanja, the reason ni kuwa "Kenyans feel the threat Tanzania is to the political, economical and social reign they thought they have had for so long.
Suala la lugha ya kiingereza Kenya wako mbele lakini sio bora. waTZ wanaongea 'broken' sana na waKE wanaongea kiingereza cha 'mother-tongue' unaweza ukashindwa kuelewa anaongea kiingereza au kilugha cha kwao, sababu ni kuwa sio lugha yetu ya asili wote tunajifunza.
Lakin hata hivyo kwa nini uwezo wa kuongea kiingereza uwe kipimo cha ushamba au ujuaji wa mtu? Vipi kuhusu mabillioni ya wachina au wajapan wasiojua hata chembe ya kiingereza na wako mbele yetu mara 1000 kwa kila nyanja.
Sisi kama wanaAfrika, wandugu tujikite kujenga nchi zetu kupambana na umaskini wetu. Knowing English alone doesnt make you better or more civilized than the other its just an instrument of communication.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.