Kwa nini wana JF ampendi kuweka avatar zenu halisi?

I am Bless

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2017
Posts
231
Reaction score
518
Kama kichwa cha habari kinavyo sema, I bet zadi ya members 97% humu ndani awajaweka na awataki kuweka avatar halisi humu, tatizo ni nini wana JF, naombeni mitazamo yenu,
 
Mbona mimi nimeweka yangu. Nime edit tu nikaifanya kama kikatuni ila ni yangu nimeifanyia tu animation
 
Kama kichwa cha habari kinavyo sema, I bet zadi ya members 97% humu ndani awajaweka na awataki kuweka avatar halisi humu, tatizo ni nini wana JF, naombeni mitazamo yenu........,

Endapo tu utatuahidi kutulishia Familia zetu pindi tukitiwa hatiani na kuanza maisha mapya ' Korokoroni ' tutaziweka ' fasta '.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…