I am Bless
JF-Expert Member
- Jul 23, 2017
- 231
- 518
Kama kichwa cha habari kinavyo sema, I bet zadi ya members 97% humu ndani awajaweka na awataki kuweka avatar halisi humu, tatizo ni nini wana JF, naombeni mitazamo yenu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aanze kwanza tutafuatiaww umeweka yako
Mbona mimi nimeweka yanguKama kichwa cha habari kinavyo sema, tatizo ni nini wana JF, naombeni mitazamo yenu........,
Weka ogMbona mimi nimeweka yangu. Nime edit tu nikaifanya kama kikatuni ila ni yangu nimeifanyia tu animation
Huyo ndio mimi mkuuWeka og
Hata hio avatar yangu ni mimiHuyo ndio mimi mkuu
Naona ka friji kwa mbali kanatokeza [emoji23]Hata hio avatar yangu ni mimi
Kama kichwa cha habari kinavyo sema, I bet zadi ya members 97% humu ndani awajaweka na awataki kuweka avatar halisi humu, tatizo ni nini wana JF, naombeni mitazamo yenu........,
duh!aiseeMaana yake nini mkuu,
akitaka jua ulivyo afate michango yako kwenye majukwaa ndo atajua kwanzia umbo lako mpk uwezo wako wa kufiria sio mpk pichaAanze kwanza tutafuatia