The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Unamaanisha nani kwa mfano?GT
Anayejua hili atuambie inakuwaje mtu anayetoka.chadema kwenda kwingine nyota yake hufifia mazima. Tofauti na anayetoka Chama kingine kuingia Chadema.
What is going on? Au ndo mpango.wa mungu hatujui tu
Nasari.Mashinji,lijuakali,Esta bulaya nkUnamaanisha nani kwa mfano?
Una uhakika nyota zao zimefifia au makelele waliyokuwa wanapiga walipokuwa Chadema ndio wameacha?Nasari.Mashinji,lijuakali,Esta bulaya nk