Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 482
Kuna kautafiti nimefanya kwa kipindi cha takribani miezi 2 hivi. Nilisikia jinsi baadhi ya rafiki zangu wakizungumzia kuhusu wasichana wa chuo fulani na shule fulani. Nikataka kujua je ya kweli?
Nilienda pale Masoka chuoni, hayo magari yaliyokuwa yanapishana pale nilishangaa. Nikamuuliza kijana mmoja akanambia ni kawaida wasichana kuchukuliwa pale ijumaa na huwa wanarudishwa jumapili jioni.
Nikahamishia kambi pake KCMC mambo ni yale yale, tena hawa sio weekend tu ni kila wakati na kwa bahati mbaya baadhi ya magari ni yale yale.
Nikarudi Ushirika, wenyewe wanaita MuccoBs. Mambo ni balaa, wasichana ndo wehu kabisa tena wanahamasisha. We pita na mkweche mpigie break binti anazama mchumani bila wasiwasi. Nikamalizia pale hostel za mtaani za Majengo Sec, du hawa wanachukuliwa gari inaenda mbele kidogo anamalizana na mtu wake huyooooooooo anarudi zake hostel.
Katika kote huku nimegundua ni watu wenye umri mkubwa ndo wanafanya vituko hivi na hawa watoto wetu. Sisemi kuwa hakuna vijana ila idadi kubwa ni watu wenyekuweza kuwaita hawa mabinti watoto kama sio wajukuu. Nilmsikia binti mmoja wa pale majengo akisema aaaaaaaaaaah nimekamata mic nikaanza kushusha mistari mara kaachia akanipa mshiko wangu nikarudi zangu.
Je huwa tunafata nini wazeee?:confused2: