Hawa wenye uwezo wa kuwazaa hawa mabinti 45 n above
ndio mana wanafia lodge, lol
I wonder kwa nini watu wanapenda kula bamia changa......
udhalilishaji/tamaa zinawasumbua, hivi mabab wa 45+ hujickii aibu kuvua nguo mbele ya binti wa 17yrs? watu wamechunwa ngozi za usokweli, haibu wameziacha msalani.
udhalilishaji/tamaa zinawasumbua, hivi mabab wa 45+ hujickii aibu kuvua nguo mbele ya binti wa 17yrs? watu wamechunwa ngozi za usokweli, haibu wameziacha msalani.
Kuna tangazo linasema "life starts at 40", sijui kama kuna ukweli !!!ndio mana wanafia lodge, lol
udhalilishaji/tamaa zinawasumbua, hivi mabab wa 45+ hujickii aibu kuvua nguo mbele ya binti wa 17yrs? watu wamechunwa ngozi za usokweli, haibu wameziacha msalani.
sasa hapo aibu ikuwapi?je ingekuwa huyo babu wa 45yrs anataka kumwoa huyo binti wa 17yrs, hiyo aibu ingetoweka?!tuweni wakweli jamani
bamia changa hazina ukakasi!
Ukiwa umeumbwa na haya utaona aibu lakini kama huna haya huna aibu
mbona ndoa ya mwanaume wa 50yrs na binti wa 18yrs, huwa hamjiulizi kuwa huyo mwanaume haoni aibu ya kumvulia nguo huyo mtoto! sana sana mtasema ndoa haina umri!!!sasa hapo inakuwaje???
Hoa wazee ndio wenye hela na ndio wenye kuahidi nafasi za ajira kwa kuwa wengi pia wameshikilia/wameng'ang'ania nafasi fulani fulani kwenye makampuni, mashirika, na serikalini...! Hii ni tamaa tu, na wala si vinginevyo...! Usishangae kijana unafunga harusi na GF wa baba...!
so ur supporting kwamba ni sawa hiki kitendo kufanyaka, mbaba wa 50 ku date na binti wa 18 coz vina taste?....ghosh!
kama ingekuwa huyo babu anatangaza ndoa, we ungesemaje nyamayao?
Na wanaitanaje? Honey, sweetie, mpenzi ama baba ama babu?
labda awe babu wa kizungu na binti awe amependea pesa, kiafrika haipendezi kabisa.
sasa hapo aibu ikuwapi?je ingekuwa huyo babu wa 45yrs anataka kumwoa huyo binti wa 17yrs, hiyo aibu ingetoweka?!tuweni wakweli jamani