Kwa nini wanaume watu wazima wanapenda wasichana wa shule na vyuo?

udhalilishaji/tamaa zinawasumbua,hivi mabab wa 45+ hujickii aibu kuvua nguo mbele ya binti wa 17yrs? watu wamechunwa ngozi za usokweli, haibu wameziacha msalani.

Akiwa anavua hilo anakuwa alijui ila akiishamaliza tendo la ngono maana si ndoa ndio anaanza kufikiria hayo
 


absolutely!!!!! sijakiona kidude cha senks ningekungongea
 

Nyamayao pamoja na kuwa ikitokea ukamkamata mumeo inaonekana utakuwa una huruma sana kwake:becky:
 
1.hiyo ni moshi hapa dar akina fataki si wengi
2.lakini mkuu wewe nawe waonekana umo na siku moja labda ulizidiwa kete?tusameheane.we miezi miwili unatafiti tuuuu?
3.msichana mdogo anatafuta pesa kwa kazi ndogo
4.mtu mzima nae ananunua starehe kwa bei nafuu.
 
Babu wa kizungu na binti awe wa kizaramo? Hata haijaka sawa


na mie nimeenda hivyo hivyo kizaramu zaramu mana warembo wa mjini hawajali utu wao wanajali kitu alichonacho mtu....kwa kawaida mbaba wa kiafrika kuoa binti wa 18 yrs ni nadra sana, kwangu mie bado cjawahi kuona, najua watakuwa wanatembea nao lakini kufikia kuoa ni ngumu, home kwake ana mtoto wa20+aje aone binti wa18?
 
si mpaka umkute????? wakati huo yeye kalewa? au? SWALA LA KUMKUTA SAHAU KABISA.....JIJI KUBWA HILI DADA YANGU HALAFU WATU WAKE HAWANA UMBEYA.
 

Eeka Mangi hivi huu utafiti wako ulikuwa unafanya practical pia maana utafiti bila kufanya practical kabisa hautoi matunda mazuri
 

Mkuu ki ukweli domo zege kwa watoto wa rika hizi. Cjawahi amini.
Nilitaka kupata ukweli wa kuwa WAZEE WANAWAMENDEA WATOTO WAO BASI!
Ufataki ulianza cku nyingi pale Dar. Wakati huo nilikuwa na Bosi wangu alikuwa anawapitia watoto wa Jangwani ka kipanga vile. Anapita Kariakoo ananunua kanga kabinti kanaingizwa guest.
Bei nafuu au kuaribu watoto wa wenzake!

Hivi una binti yako unakuta yuko na huyo mbaba mtu mzima ndo wanatoka guest utafanyaje?
 
Wote ni matatizo matupu! Vibinti vikigoma kutoka iwapo hao unaowaita wazee wakija na mikoko yao! Hayo majambo yangetokea? Kwanza wamezeeka sehemu gani?
 

hapo hana shida yoyote nyumbani, unajinyima unamsomesha vizuri, anakula vzr, anavaa vzr...haaaa wengi nadhani kwenye hii mada bado hawajajua uchungu wa mtoto.
 
Eeka Mangi hivi huu utafiti wako ulikuwa unafanya practical pia maana utafiti bila kufanya practical kabisa hautoi matunda mazuri

Am afraid wasnt practically just theoretically brother. Ningekuwa mzee mbaya sana ningekula hawa kondoo wachanga
 
mTI UKISHAZEEKA HUKAUKA,
NDIPO MTEKA KUNI ANAONA UNAFAA KWA KUKOKEA MOTO
 
sijajua ina radha gani, ngoja nitajaribu, maana naelekea uzeeni.
 
sijajua ina radha gani, ngoja nitajaribu, maana naelekea uzeeni.
walah utajua kwa nini mti mkavu ndio husababisha moto ukawa mkali. mti mbichi unafaa kwa kivuli tu

Heeeeeee!Na wala usithubutu, Don't try this at home!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.Na uzee huo utajuta!
angalia huyu mti mbichi usimsikilize
 
Majibu mengine ni rahisi kupatikana hata kwenye mifano ya wanyama...

Ukiangalia mbuzi, wale waliozeeka siku zote wanapenda kula yale majani malaini ya nchani. Nadhani kwa sababu hata meno yao yanakuwa yamechoka...

Alaf wale wazee wa kule Uchagani wanajua kujipa vitu vilaini. Wakichinja mbuzi nyama laini zote; Maini, figo, Ulimi, ni mali ya mzee... we ulidhani hata kweney mambo ingine wasingechagua vilaini?
 
Na hawa watoto ndo watoaji wakubwa wa MTANDAO (TIGO) so vibabu vinaenda zibua mitaro hukoooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…