Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Wakioa wanabaki na jina lao la ukoo.
2. Matayarisho ya arusi hayawahusu kabisaaaaaa!
3. Wanaweza kula wanachotaka bila ya kuogopa kunenepa.
4. Hawana wasiwasi wakati wa tendo la ndoa kwa vile hawawezi kupata ujauzito
5. Wanaweza �kucimba dawa� popote (ugomvi wao uko kwa manispaa tu).
6. Hawahitaji kusindikizwa vyooni na hawaingi wawili wawili choo kimoja.
7. Mikunjano ya ngozi usoni si tatizo bali baraka kwani wengine huwaongezea �personality�.
8. Watu wanapozungumza nao hawawaangalii maziwa na makalio.
9. Sura, maziwa na makalio si sifa ya ziada katika usaili wa kazi
10. Mazungumzo yao ya simu za kikazi hayazidi sekunde 30.
11. �Holiday� ya siku 5 wanahitaji (ki)begi (ki)moja tu
12. Wanaweza kutumia hata perfume ya machinga na nguo zao za ndani fungu 1,000/=
13. Akienda shughulini na nguo yako (mwanamume) itasemwa kuwa �yule ni rafiki yake�,
14. Hawahitaji kutumia gundi kujinyoa nywele za kokote, na kwa wanaotaka wananyoa ndevu tu
15. Wanaweza kula �ndizi�/�ice-cream� hadharani bila ya kushutumiwa wasivyokuwa ndivyo.
16. Ikiwa mmoja atasahau kumwalika rafiki yake shughuli, hilo si kosa na linaweza kusuluhishwa kwa bia moja na urafiki wao ukabaki palepale.
17. Jeans 3, mashati 3 na viatu pea 3 ni zaidi ya mahitaji yao mwaka mzima.
18. �Shati/nguo� kukunjana si �isssue� ya kumfanya mwanamume asiende safari yake.
19. Hawahitaji kipodozi cha aina yoyote.
20. Hawapotezi zaidi ya dakika 5 kukunua zawadi.