kwa nini wanawake hawatoi sifa au kukandia?

Kimey ameuliza saloon huwa mnaenda kutizama mpira, wewe unaweza usiwe unafanya hivyo lakini kuna wengine tena wanaongea bila kificho
 
Mi nasema tu nahisi kama sina aibu vile!au nakingiuka maadili? ila vibamia huwa vina raha ajabu maana unaweza pata tango likasambaratisha kitu hata usione hiyo raha yenyewe, kibamia akuuu palepale panapohusika. kwa upande wa wanaume siku hizi hakuna cha kabila wala nini watu wanasoma vitabu wameelimika wamejifunza kila mtu yuko kivyake. kwa hiyo wanaume inategemea wa kwako yuko radhi kujifunza mambo mapya au vipi. ila wale wenzetu wa kuleeeee bado ubahili hawaachi naona hii haiwezekani
 
So...so dear carmel is speaking it out....kwamba wanawake hawapendi kukiri uzoefu wao wa ngono.......
 
Mmh labda ni kweli Fynest..ila binafsi sijawahi wala sifagilii!Kuna dada mmoja ye alikua anaongea mambo ya chumbani kwake kama kwa mtu yeyote na mahali popote!Nlikua namuona wa ajabu kweli!
Ni kweli wewe unaweza usiwe unafanya hivyo lakini kuna wanawake wengine wakianza kuchambua wanaume wanachambua bila aibu tena open kabisa
 
Gaga karibu nyumbani wikiendi hii nimekuandalia bamia
 
Kimey ameuliza saloon huwa mnaenda kutizama mpira, wewe unaweza usiwe unafanya hivyo lakini kuna wengine tena wanaongea bila kificho

Mi sisemi aisee hhhaaa yaani nianze kumwaga sifa za BE hadharani haiwezekani
 

Habari yake vibamiaa??? Bacha umemsikia Gaga anapenda vibamia??? Kazi kwako
 
Lizzy nyie mkikaa kikundi cha wanawake huwa mnadiskasi banaa.....

Kuna wengine wanadiscuss wengine huwa hawadiscuss inategemea na marafiki zako walivyo ila hata siku moja huwezi kuwa specific kwamba mume wangu yuko hivi yuko vile inakuwa story za kigeneral tu. Nafikiri hata wanaume wataongea sana lakini hawezi sem mke wangu au GF wangu yuko hivi na vile. ile mastory ya kawaida yapo tu
 

Hapo kwenye red ni kujitetea tu kimaneno, kivitendo ni tofauti.
Wanawake wameumbwa na aibu, ndo maana hata mwanamke akitoka nje anakuwa msiri sana tofauti na mwanaume
Ingawaje wapo wanawake wanaozungumzia wanaume walivyo, lakin still majority bado wameumbwa na aibu kuzungumzia wanaume
 
Wanawake wameumbwa na haya na wako discreet, so mara nyingi hawezi kusema siri ya aibu ya mumewe. Aibu ya mwanaume wake ni aibu yake. Lakini kwa mwanaume aibu ya mwanamke wake ni ya mwanamke wake., yeye haimuhusu.
 
nadandia hoja kiaina
niliona sredi ya MWANAUME WA KITANGA NAYE MUME?
mbona dada zetu kila mara hurudia usemi wa wanaume wa kimasai watumu au tuseme ndio hamjawasikia?
 
tunaogopa tukisema watatuona malaya😛layball:😛layball:
 
Mwanamke ambaye alelewa vizuri na amepewa mafunzo ya kuishi, hawezi kutoa siri ovyo ovyo, si hulka yetu
 
Wanawake wameumbwa na haya na wako discreet, so mara nyingi hawezi kusema siri ya aibu ya mumewe. Aibu ya mwanaume wake ni aibu yake. Lakini kwa mwanaume aibu ya mwanamke wake ni ya mwanamke wake., yeye haimuhusu.

ASante mkuu, very well said! hili ndio jibu hasa, mengine tutaongezea tu.
 
Carmel hii naona ni hulka yetu ,tumeumbwa na staha ,,,,kwa hiyo ni ngumu sana kwa wanawake kuanzisha Topic za dizain hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…