kwa nini wanawake hawatoi sifa au kukandia?

mnaongeaga sana bana.. utasikia ooh nanii anaboa kweli dk mbili tu ashananiliu....
 
ila wao ndo wana haki ya kutudiscuss na kutudhalilisha? je inapendeza wanaume kuwadiscuss wanawake kwenye ishu za mapenzi?

Hakuna haki dada Carmel huwa wanajishow off kwa wenzao ili waonekane vijogoo.
 
Carmel hujambo?

Mbona swali jepesi sana?

Kwa sababu wanawake wengi ni wanafiki na waongo. Wanataka waonekane watakatifu kwamba hawana uzoefu wa kumegwa na wanaume wa aina mbalimbali....

Ngoja nisiendelee babu nisijie kuzomewa kwa kutoa habari hii.
 
Carmel tusaidie kwa kuanza wewe kufungua ukurasa wa kutueleza in diteil expirienz yako/zako!
 

...mila na desturi zetu za wabantu hazimruhusu mwanamke kuyazungumza mambo hayo hadharani,
nadhani ukiachia salooni, hata kwenye kitchen party zenu kuna nmipaka ya kuongelea mambo haya, au?
Pole Carmel.

Mi nahisi sio hulka ya mwanamke kueleza eleza mambo ya mahusiano kiivo!! Yani utokee mwanamke uanze wanaume wa Kingoni ni watamu!! Mmmmmmh sijui lakini mmmmh!!!

..LOL!, naomba kuamini kama kikohozi nawe umepaliwa tu hapa :wink2:
 
ni kujiheshimu tu,hakuna sifa kueleza mambo ambayo pengine hutaki hata kuyakumbuka kwenye akili yako.....hatuwezi kuwa kama wanaume manake tuko tofauti sana,namna tulivyolelewa,namna tunavyobeba na kuchukulia mambo tofauti.Ila yale ya kawaida tunaweza jadili tu!
 
mtarimbo ume lala doroooo.......hivi yule mwanaume eee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…