Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Wanawake wameumbwa kupokeaKwa nini Wanawake wanabadilika badilika alf ni viumbe vya Ajabu?
na kwa nn ni emotional creatures?
Je ww ni vitu gani vya ajabu uliviona au kitu usichotarajia
Anaye wapa wengine furahaKibaya huyo huyo anayekupa Furaha ndio anaweza kukuumiza
Alafu kuna wale washenzi wanaish kwao, utaskia anaomba hela ampeleke mama ake hospitali, mara umeme umeisha utume 5k wanunue luku waangalie SIZONI na wadogo zake. hua najiuliza hapo nnadTe na mama ake au yeye?Haipiti muda wanasuka tena
kabisa mkuu hawana faida yoyote zaidi ya kuzaa tuHawajawahi kuwa na faida kwa wanaume zaidi ya kuzaaa
Vijisabab sabab vingi na visingizioAlafu kuna wale washenzi wanaish kwao, utaskia anaomba hela ampeleke mama ake hospitali, mara umeme umeisha utume 5k wanunue luku waangalie SIZONI na wadogo zake. hua najiuliza hapo nnadTe na mama ake au yeye?
Mtu mmoja mwenyebusara alisema "Kumtajia mwanamke kipato chako, ni sawa na kumpa adui ramani ya vita".. Lazima uumieVijisabab sabab vingi na visingizio
Ili kula pesa
Na kibaya ni kama ukimwambia kipato chako halisi
Ushakua father house, hiyo tunaita 'download section'Alafu kuna wale washenzi wanaish kwao, utaskia anaomba hela ampeleke mama ake hospitali, mara umeme umeisha utume 5k wanunue luku waangalie SIZONI na wadogo zake. hua najiuliza hapo nnadTe na mama ake au yeye?
Na vitu vinaweza kwenda mrama zaidi. Hapo hujakutana na single mother bado, alaf awe hana mchongo yupo tu kwao.. Unaweza ukayachukia mahusiano daima.Ushakua father house, hiyo tunaita 'download section'
AiseeMtu mmoja mwenyebusara alisema "Kumtajia mwanamke kipato chako, ni sawa na kumpa adui ramani ya vita".. Lazima uumie
Na vitu vinaweza kwenda mrama zaidi. Hapo hujakutana na single mother bado, alaf awe hana mchongo yupo tu kwao.. Unaweza ukayachukia mahusiano daima.
Umenikumbusha kuhusu sauti nyororo za wanawake kabla huja muweka ndaniNa vitu vinaweza kwenda mrama zaidi. Hapo hujakutana na single mother bado, alaf awe hana mchongo yupo tu kwao.. Unaweza ukayachukia mahusiano daima.
206Evelyn Salt njoo unioneshe maajabu yako...
nimecheka kwa sauti.. Washenzi hua wanajifanya wastaarabu, kumbe anampango wake kabambe kudadeki.Umenikumbusha kuhusu sauti nyororo za wanawake kabala huja muweka ndani weee! weee! ghafula unashangaa sauti ile inatoweka inaanza kukoroma mithiri ya mbwa anaye bweka
😀 Una maajabu yapi ambayo mleta mada anayazungumzia...
Ndo maana wengine tunaplani zetu za kibabe, Tukiinana leo ajue kesho kaliwa na akinitafuta kesho kutwa majibu nitakayo mpa atajua tu hana chake hap.Sio Tajir sio maskini
Wote wanapigwa hela
Na wengn baada ya kuliwa hela sana wanaachwa au ukirud nyuma kwenye maisha kwenye shida
Kazi za mwanamke ni mbili tu, kumtuliza mwanaume akiwa amevurugika na kumvuruga mwanaume akiwa ametulia......Kibaya huyo huyo anayekupa Furaha ndio anaweza kukuumiza
Kwakweli ni mengi, sijui nianzie lipi😀 Una maajabu yapi ambayo mleta mada anayazungumzia...