Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Anakuambia ukiachwa achika
ni roho ngumu AiseeAnakuambia ukiachwa achika
Nawachukia sanani roho ngumu Aisee
Nawachukia sanaEti wanawake ni watu wa "hisia" ila cha ajabu wanaoongoza kwa kuwaua wenzao ni wanaume🤔🤔🤔
Basi itoshe kusema "binadamu" ni kiumbe cha hisia.
Unataka sisi ndo tukusimulie matukio ya wanawake wakati uzi umeanzisha wewe!!!?? Lawama za nini sasa kama huna kisa chochote!?Kwa nini Wanawake wanabadilika badilika alf ni viumbe vya Ajabu?
na kwa nn ni emotional creatures?
Je ww ni vitu gani vya ajabu uliviona au kitu usichotarajia
Na namna gan ya kuishi nao?
Heeeh! Kisa na mkasa?Nawachukia sana
Eti wanawake ni watu wa "hisia" ila cha ajabu wanaoongoza kwa kuwaua wenzao ni wanaume🤔🤔🤔
Basi itoshe kusema "binadamu" ni kiumbe cha hisia.
Siku Ukiwaelewa ujue iyo siku upon kabulini😆Kwa nini Wanawake wanabadilika badilika alf ni viumbe vya Ajabu?
na kwa nn ni emotional creatures?
Je ww ni vitu gani vya ajabu uliviona au kitu usichotarajia
Na namna gan ya kuishi nao?
🤕🤕Siku Ukiwaelewa ujue iyo siku upon kabulini😆
Unashangaa, mademu wa Dar noma kwa sababu wamezoea wanaume wao wengi ni vikaragosi.Aisee