wolverineGG
JF-Expert Member
- Feb 13, 2025
- 1,968
- 3,680
watu wanaona mbaliAisee
watu wanaona mbaliAisee
Nipe miongozo, utamu hauna siri...Kwakweli ni mengi, sijui nianzie lipi
Ukituamini tuko na wewe, usipotuamini tuko na wewe......yani ni hadi tukutoe rohoWanawake SI wa kuwaamini 100%
Mambo yangu niachiwe mwenyewe 😁Nipe miongozo, utamu hauna siri...
Mpaka unitoe damu, ndiyo akili itanikaa sawa...Mambo yangu niachiwe mwenyewe 😁
Ni mama zetu lakini na sisi ni baba zao ila walio wengi mmmm???????????????nimecheka kwa sauti.. Washenzi hua wanajifanya wastaarabu, kumbe anampango wake kabambe kudadeki.
Kuota viumbe vipya tumboni si mchezo sheikh!Kwa nini Wanawake wanabadilika badilika alf ni viumbe vya Ajabu?
na kwa nn ni emotional creatures?
Je ww ni vitu gani vya ajabu uliviona au kitu usichotarajia
Tatizo binadamu wabishi sanaMpaka unitoe damu, ndiyo akili itanikaa sawa...
Kuota viumbe vipya tumboni si mchezo sheikh!
Kuna mambo bila ubishi hutoboi...Tatizo binadamu wabishi sana
kama anakuwa anakutestnumber nimebadili, always wanawake wapo hivyo..they like to play with niggas emotions, excuses periods,moods swings, feelings and bullshits
Kama movie [emoji327] hivi ila ndo uhalisia...Kuna girl Wakati naanza nae sikua nampenda nilikua nae kupitisha siku tu,Alikua ananipenda Ile laana na kunisikiliza Kwa Kila kitu,so I was like DAMN I WILL MARRY HER ila ana drama za ******* kama wanawake wote duniani,.
Siku Moja katoka job usiku kanitext
Her:baby I'm so thirsty
Me: pole baby nenda jikoni kunywa maji
Her:Nilisahau kununua sina maji hata tone
Me: damn that's bad nenda dukani kanunue hata ya buku,kesho nunua Lita 13 kama kawaida
Her:acha ujinga muda huu huku duka gani wazi??
Me :ujinga?sorry then kunywa ya bombani..
Her;hapana siwezi kunywa ya bombani
Me: pole lala Sasa huwezi kufa
Her:Yaani me nna kiu unasema nilale hivi unanipenda kweli??
Me:bitch please nimekwambia kunywa ya bombani kama huwezi shut the fvcck up usinisumbue.
Haha mwaka wa tatu Sasa no text no call ndio tumeachana na number nimebadili, always wanawake wapo hivyo..they like to play with niggas emotions, excuses periods,moods swings, feelings and bullshits
😅😅Kama movie [emoji327] hivi ila ndo uhalisia...
huyo naye kama alikuwa na kiu alitaka nn sasaKama movie [emoji327] hivi ila ndo uhalisia...