kwa nini wanawake wanakubali kufanya haya?

kwa nini wanawake wanakubali kufanya haya?

mie niliwahi leta uzi hapa nikauliza maana ya kujirekodi ni nini, sikupata jibu hata moja nilililoelewa.

Lakini hata hawa wanawake wanafanya na wanamme, mie naona wote aibu iko pale pale.

Labda kama hao wanawake walikutwa wanafanya wao wenyewe vinginevyo aibu ya wote tu.

We mzee mwenzangu Mamndenyi , haya mambo tuwaachie vijana.

Sisi enzi zetu kupiga picha lazima uende studio na redio na maua unaweka juu ya stuli na pozi kuuubwa. Unajihakiki kama bugaluu na raizoni zimekaa vyema. Nywele unazipiga kwa kitanna cha mti. Shati vifungo kama ishirini hivi tena lazima liwe la kubana. Saa lazima ionekane na ilikuwa lazima iwe kubwa kama mita ya maji. Jamaa anakupiga black and white na unaambiwa uje uchukue picha baada ya wiki mbili! Ole wake asikupe negative ya picha....

Haya mambo kina RussianRoulette, gfsonwin Cantalisia, Erotica Bishanga na Rejao walikuwa bado kuzaliwa na kina Kongosho na AshaDii walikuwa bado hawajavunja manyungo.
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na wewe mkuu,
acha vijana wafanye vitu vyao.

Enzi zangu ilikuwaga hivi.

enzi za mwalimu 5.jpg

Tupe link yenye huyo mdada wa kitanzania tujue kama kweli amerekodi...lol

Binafsi nimekataa kuiangalia baada ya kuambiwa ni ya mtanzania, niite vyovyote vile lakini kama red hot blooded youngman najisifu kwa kuweza kujizuia kuangalia clip hii. No sitotowa link kwa yeyote, sababu siko tayari kuchangia kimdhalilisha mtanzania mwenzangu!!!!
 
hivi hao wanawake wanajirekodi wakiwa wanafanya peke yao..?..na huyo mwenzie yeye haleti aibu kwenye jamii......?na unadhani wanalazimishwa.....hawajui wanachokifanya?.....

Preta nadhani umeshindwa kufahamu point yangu, hata hivyo sijui unaishi nchi gani na kama uko nje miaka mingapi, lakini kwa jamii yetu ya Tanzania na naweza hata kusema ya afrika nzima, linapokuja suali la sex mwanamke daima ndie anaeleta aibu katika jamii. sisemi kama hilo ni sawa au sio sawa, lakini ndivyo jamii ilivyo na sote tunajuwa hilo. Mwanamke anapata mimba wazazi wa mwanamke ndio wanaopata lawama na aibu, wazazi wa mwanamme wanakwenda kifua mbele kwa kuwa mtoto wao kweli ni kidume, na zaidi wanamtukana mwanamke kwa kumpa kila jina, si kweli hilo? Na wanaokuwa mbele mbele kumtukana alobebeshwa mimba ni nani? dada, mama na shangazi wa mtoto wa kiume!!! Mara ngapi ushasikia mwanamke anakuwa raped na bado jamii inamlaumu yeye?

Point yangu ni kuwa kwa kujua yote hayo juu ya jamii zetu bado kijana wa kike mwenye elimu na amepata bahati ya kupatiwa nafasi ya kusoma nje ya nchi anakwenda kufanya jambo ambalo nyumbani litamletea yeye na familia yake aibu? alikuwa anafikiria nini hasa? ni nini hasa kilichompelekea kukubali kufanya haya?
 
Hahahha hahhhaha hahahhah,
Uwiiiiiiiiiiiii babu mbavu zangu mie lol!
Mie ulishanikagua enzi hizo na hatukupiga picha,
Sasa niko kwa mume wangu Rejao ananikagua mwenyewe na hakunaga mambo ya kupigana picha lol!
Huyo Rejao anakuchafua tu, kukagua atajulia wapi? Babu mkaguzi ni ODM na ODM peke yake
 
Last edited by a moderator:
mie niliwahi leta uzi hapa nikauliza maana ya kujirekodi ni nini, sikupata jibu hata moja nilililoelewa.

Lakini hata hawa wanawake wanafanya na wanamme, mie naona wote aibu iko pale pale.

Labda kama hao wanawake walikutwa wanafanya wao wenyewe vinginevyo aibu ya wote tu.
Ushasahau kuwa mwanaume mtafunaji ni rijali na mwanamke mtafunwaji ni malaya? Stuka!

Nakubaliana na wewe mkuu,
acha vijana wafanye vitu vyao.

Enzi zangu ilikuwaga hivi.

View attachment 54367
Hehehehehe! Enzi hizo ulikuwa bonge la mrembo kabla hujaanza kutumia haya makarolaiti yako....khaa!
 
niko hivi hivi mkuu
hakuna mkorogo wowote hapa.

Ushasahau kuwa mwanaume mtafunaji ni rijali na mwanamke mtafunwaji ni malaya? Stuka!

Hehehehehe! Enzi hizo ulikuwa bonge la mrembo kabla hujaanza kutumia haya makarolaiti yako....khaa!
 
hivi hao wanawake wanajirekodi wakiwa wanafanya peke yao..?..na huyo mwenzie yeye haleti aibu kwenye jamii......?na unadhani wanalazimishwa.....hawajui wanachokifanya?.....
Preta
Nyingi zao mwanaume anaonekana dushelele tu lakini mwanamke ndio anakubali kutoa mpaka uso wake na makwapa yake yaonekane.
hehehe mwambie mtu chake ile ya kwenu aturushie bas kule jukwaa la bondeni tutathmini lol
 
Last edited by a moderator:
Tupe link yenye huyo mdada wa kitanzania tujue kama kweli amerekodi...lol
Njoo uone kwenye mobile ya rafiki yangu mmoja amabye si katika marafiki wa karibu sana na mimi lakini ni rafiki tu, huyo rafiki yangu alitaka kunifowardia nikakataa, sababu sitaki simu yangu iwe na upumbafu wanmna hio :biggrin:
 
Hivi wewe unafikiri camera za kwenye simu kazi yake kubwa ni nini?
 
Preta
Nyingi zao mwanaume anaonekana dushelele tu lakini mwanamke ndio anakubali kutoa mpaka uso wake na makwapa yake yaonekane.
hehehe mwambie mtu chake ile ya kwenu aturushie bas kule jukwaa la bondeni tutathmini lol

he he he......bahati mbaya sisi haturekodi....tunapiga live....ukitaka kushuhudia karibu....
ni kama vile Amavubi wakicheza na Simba.....huangalii video....unaenda uwanjani......
:lol:
 
Hivi hata wanaorekodi mikanda ya ngono wanaonekana marijali?

Mie wanaorekodi wote wake kwa waume nawaona sawa tu bila kujali jinsia zao.

Ushasahau kuwa mwanaume mtafunaji ni rijali na mwanamke mtafunwaji ni malaya? Stuka!
 
he he he......bahati mbaya sisi haturekodi....tunapiga live....ukitaka kushuhudia karibu....
ni kama vile Amavubi wakicheza na Simba.....huangalii video....unaenda uwanjani......
:lol:

heheeh si ndo maana nasemaga sku zote, JF bila Preta ni sawa na chelsea bila drogba.
Tutahuzuria mama :lol:
 
Last edited by a moderator:
Aisee wekeni link basi nasi tuone... its all about the benjamins!
 
Hivi hata wanaorekodi mikanda ya ngono wanaonekana marijali?

Mie wanaorekodi wote wake kwa waume nawaona sawa tu bila kujali jinsia zao.

Kongosho

Hivi kwa nini mwanaume akiwa na mahusiano ya kimapenzi na wanawake wengi watu wanamuita mkali, mwanamke akiwa na mahusiano na wanaume wengi anaitwa malaya.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom