kwa nini wanawake wanakubali kufanya haya?

Inawezekana wengine wanajirekodi kwa matumizi yao binafsi na inatokea mtu wa karibu au hata moja wa wenzi kwa sababu mbalimbali kama visasi, pesa kuamua kutoa hadharani

hata kama why afany hivyo
 
ULISHAWAHI KUJIULIZA HAYA:

  1. Kwanini mtu anajitoa muhanga (kujilipua kwa mabomu)?
  2. Kwanini mtu anatumia madawa ya kulevya?
  3. Kwanini mwanamke anaamua kujiuza?
  4. Na mengineyo, ambayo ni chukizo mbele za wanadamu na MUNGU

Maisha tunayoishi leo ni matokeo ya malezi na mazingira tuliyokulia; kuna watu wanapitia malezi mabaya kwa maana ya kukandamizwa, kutendewa ukatili, kunyanyaswa na mengineyo ambayo yanaadhiri utu wake wa ndani na hata kufikia hatua ya kutothamini uwepo wake kwa kuwa hakuna aliyewahi kuthamini kuwepo kwake. Mtu wa namna hiyo anaweza kuamua kutekeleza jambo lolote ambalo anafikiri litampatia furaha katika maisha yake au kutokujali juu ya maisha yake ya baadae (hapa hapa duniani); kwa hiyo unaposema unajidhalilisha yeye atakushangaa, kwa sababu utu wake ulishakufa siku nyingi. Kwa mtu wa namna hiyo inahitajika neema ya Mungu kuweza kuwa juu yake na kumfanya kuona thamani ya maisha tena. Ndugu zangu kuna familia zinachangia sana kuwafanya watu kutekeleza maovu hapa duniani, vinginevyo kama mtu amekutana na neema ya Mungu, angalia jinsi unavyowa-treat watu wa nyumbani kwako. Usimshangae mtoto wa mwingine kutenda hayo, ukasahau kwamba na wewe una wajibu wa kum-shape mtoto wako ili aisjekutenda hayo unayoyashangaa leo. Kuwa makini najinsi unavyom-treat mtoto na kuendelea kumuonyesha kwamba yeye ni wa thamani hapa duniani na hata mbele za Mungu, vile vile jamii kubwa inasubiri mchango wake na kwamba yupo hapa duniani kwa kutimiza kusudi la Mungu.
 
mwana lazima performance iwe analized....sasa wewe ulionaga wapi mechi inachezwa nakusahauliwa? lazima ufanye match analysis na ukiwa na video inasaidia kuona wapi marekebisho yafanywe wewe.
 
Utamu wa ngoma uingie ucheze na uimbe pia,kama inakukera wewe ipotezee wengine BIG UP kwa sana!
 
ULISHAWAHI KUJIULIZA HAYA:

  1. Kwanini mtu anajitoa muhanga (kujilipua kwa mabomu)?
  2. Kwanini mtu anatumia madawa ya kulevya?
  3. Kwanini mwanamke anaamua kujiuza?
  4. Na mengineyo, ambayo ni chukizo mbele za wanadamu na MUNGU

Maisha tunayoishi leo ni matokeo ya malezi na mazingira tuliyokulia; kuna watu wanapitia malezi mabaya kwa maana ya kukandamizwa, kutendewa ukatili, kunyanyaswa na mengineyo ambayo yanaadhiri utu wake wa ndani na hata kufikia hatua ya kutothamini uwepo wake kwa kuwa hakuna aliyewahi kuthamini kuwepo kwake. Mtu wa namna hiyo anaweza kuamua kutekeleza jambo lolote ambalo anafikiri litampatia furaha katika maisha yake au kutokujali juu ya maisha yake ya baadae (hapa hapa duniani); kwa hiyo unaposema unajidhalilisha yeye atakushangaa, kwa sababu utu wake ulishakufa siku nyingi. Kwa mtu wa namna hiyo inahitajika neema ya Mungu kuweza kuwa juu yake na kumfanya kuona thamani ya maisha tena. Ndugu zangu kuna familia zinachangia sana kuwafanya watu kutekeleza maovu hapa duniani, vinginevyo kama mtu amekutana na neema ya Mungu, angalia jinsi unavyowa-treat watu wa nyumbani kwako. Usimshangae mtoto wa mwingine kutenda hayo, ukasahau kwamba na wewe una wajibu wa kum-shape mtoto wako ili aisjekutenda hayo unayoyashangaa leo. Kuwa makini najinsi unavyom-treat mtoto na kuendelea kumuonyesha kwamba yeye ni wa thamani hapa duniani na hata mbele za Mungu, vile vile jamii kubwa inasubiri mchango wake na kwamba yupo hapa duniani kwa kutimiza kusudi la Mungu.

ulishawah kuwa pasta nini?
 
Si yuko USA?? Vijana ni rahisi kuiga na muigizaji kawaida yeye huzidisha.
 
Back
Top Bottom