klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Umemuuliza Kongosho lakini acha nifyetue mimi ninavoelewa mkuu.Kongosho
Hivi kwa nini mwanaume akiwa na mahusiano ya kimapenzi na wanawake wengi watu wanamuita mkali, mwanamke akiwa na mahusiano na wanaume wengi anaitwa malaya.
Kongosho

hivi hao wanawake wanajirekodi wakiwa wanafanya peke yao..?..na huyo mwenzie yeye haleti aibu kwenye jamii......?na unadhani wanalazimishwa.....hawajui wanachokifanya?.....
heheh sawasawa bana, aweke ushahidi au tutaripoti sredi ipelekwe jukwaa la udaku.
Magreti sinka bila ushahidi hatukubali bana
Poa fazaa . So wapi niwakute?Njoo uone kwenye mobile ya rafiki yangu mmoja amabye si katika marafiki wa karibu sana na mimi lakini ni rafiki tu, huyo rafiki yangu alitaka kunifowardia nikakataa, sababu sitaki simu yangu iwe na upumbafu wanmna hio :biggrin:
Imeandikwa "usizini. Kutoka 20:14" whether umerekodi au la dhambi ipo pale pale.
kwani ni vibaya kuangalia porn ya kwenu wenyewe...sex is a free act...mkikubaliana kurekodi well n good..hata kama hiyo tape ikionekana na wengine so what its a free world...kwani kuna mtu ambae hangoni au kungonoliwa mpaka mshangae....come on
We mzee mwenzangu Mamndenyi , haya mambo tuwaachie vijana.
Sisi enzi zetu kupiga picha lazima uende studio na redio na maua unaweka juu ya stuli na pozi kuuubwa. Unajihakiki kama bugaluu na raizoni zimekaa vyema. Nywele unazipiga kwa kitanna cha mti. Shati vifungo kama ishirini hivi tena lazima liwe la kubana. Saa lazima ionekane na ilikuwa lazima iwe kubwa kama mita ya maji. Jamaa anakupiga black and white na unaambiwa uje uchukue picha baada ya wiki mbili! Ole wake asikupe negative ya picha....
Haya mambo kina RussianRoulette, gfsonwin Cantalisia, Erotica Bishanga na Rejao walikuwa bado kuzaliwa na kina Kongosho na AshaDii walikuwa bado hawajavunja manyungo.
Lakini tukipigwa picha wakati nakukagua nadhani haina ubaya si eti eh?😛hoto: