Kwa nini wanawake wanaotafuta wapenzi wengi humu ni wakristo?

Vijana wa kikristo wanaogopa Ile kauli ya kifo ndicho kitawatenganisha mkuu..
 
Poor Brain lete mawazo yako apa je n kwel?
😂😂😂 Ni kweli kabisa.
Maana nina kipaji cha kila anaetafuta mchumba huwa naenda moja kwa moja PM kwake japo naoata negative response ila ndo hvo wengi ni wakristo..

Kwanini ni wa kristo ndio wanaongoza?
hi ni kwa sababu

Wadada wa kikristo wengi huwa wana ongoza kwa kuringa pasipo na sababu za msingi.

Unaweza ukamtokea binti kwa nia njema tu lakini akawa analeta nyodo na maringo.

Pia wengine wanakuwa na masharti magumu sana zaidi hata ya waganga,mara uwe na gari aina flani,huwe na hela za kutosha n.k.

Wanawake wa dizaini hii huwa wanakosaga watu wakuwa nao maisha kwasababu ya masharti yao ya ajabu ajabu na tamaa.

Hi inapelekea kuwa single mpaka inafikia kipindi sasa anaanza kusumbuka huku mitandaoni

Ushauri.. kama ni mdada wa kikristo na umependwa na kijana haijatishi ni mwanafunzi au ni mfanyakazi au laah.
Wewe mlee hivo hivo maana umri unakwenda .
Waache kusumbua watu jf huku.
Mashangazi pia naomba muwe ..... Au basi niishie hapa 😂😂😂😂
 
Sasa hapa umechangia mada au umenitongoza😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣yaani hata nifike 30 sikukubali ng'ooo mxiuuu kwenda zako uko,,, endelea kusoma toto.
 
Kwasababu nature haitaki mwanaume awe na mke mmoja,matokeo yake ndio haya,na kwaujinga waliolishwa makanisani kuwa kuolewa matala ni dhambi wakati Yesu hata hakuwahi kuoa.

Kiufupi walidanganywa ndio mana wanateseka,matala ni mpango wa asili wa viumbe hai.
Waislamu wanaooa wanawake wawili wapo wangapi?
 
Sasa hapa umechangia mada au umenitongoza😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣yaani hata nifike 30 sikukubali ng'ooo mxiuuu kwenda zako uko,,, endelea kusoma toto.
Nimetoa ushauri khaaa...
Sasa huo ushauri ukichukua sawa usipochukua itakula kwako mi simo
 
Kwasabb wanawake wa kikristo wanataka ndoa za heshima zisizo na mitala. Wakati upande wa pili wao wako tayari kuwa mke wa 6 ama kudanga.
Nenda uswazi. Huko ndiko kuliko na maskani ya kina Asha, Mwamtumu, Hadija etc wanagawa kama pipi. Kwao ndoa ni jambo la usiku mmoja.
 
Back
Top Bottom