Kwa nini wanawake wanaotafuta wapenzi wengi humu ni wakristo?

Huna akili wewe mtu hivi jiulize hapa duniani umiliki wake wa4 ukifa ukienda peponi kwenu upewe wake 72 mabikira je mke wako atapewa nani na pia hujui baada kifo mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa YESU ANAKUHITAJI AKUOKOE MAISHANI MWAKO
 
Wanawake wa Kikristo wapo too selective pia hata mahari zao zipo juu. Wengi wanatafuta financial support na sio mume. Mwisho muda unawatupa na kuanza kuangaika kutafuta yeyote. Period!
 
Hiviiii ajitokeze Mkristo yeyote mwenye upeo na upako wa level yoyote anisomee Kifungu kinachomkataza Mwanaume kuoa wanawake wawili au zaidi (Ukitoa maaskofu, Mashemasi na watumish wengine)
Nyie raia wa kawaida ni nani aliwakatazwa kuoa mitala naomba Vifungu haraka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…