BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Mar 26, 2012 #21 Keren_Happuch said: Siku hizi hata wanaume nao wanapenda vya bure....! Click to expand... tena wapo wengi sana, na wanajilengesha makusudi walelewe...wanaume walikuwepo zamani bwana siku hizi hakuna kitu lohh
Keren_Happuch said: Siku hizi hata wanaume nao wanapenda vya bure....! Click to expand... tena wapo wengi sana, na wanajilengesha makusudi walelewe...wanaume walikuwepo zamani bwana siku hizi hakuna kitu lohh
Keren_Happuch JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 1,874 Reaction score 935 Mar 27, 2012 #22 Husninyo said: we huwa unapotelea wapi? Click to expand... Hus, yaani kuna mjamaa alinifungia bana....🙂 Asante kuniulizia. Hope wewe mzima. Siku njema!
Husninyo said: we huwa unapotelea wapi? Click to expand... Hus, yaani kuna mjamaa alinifungia bana....🙂 Asante kuniulizia. Hope wewe mzima. Siku njema!
Husninyo JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 23,851 Reaction score 9,472 Mar 27, 2012 #23 Keren_Happuch said: Hus, yaani kuna mjamaa alinifungia bana....🙂 Asante kuniulizia. Hope wewe mzima. Siku njema! Click to expand... halafu limjamaa limekufungia wakati lenyewe lipo kwa ID nyingine(joke). Poa mpendwa, usipotee sana. Siku njema.
Keren_Happuch said: Hus, yaani kuna mjamaa alinifungia bana....🙂 Asante kuniulizia. Hope wewe mzima. Siku njema! Click to expand... halafu limjamaa limekufungia wakati lenyewe lipo kwa ID nyingine(joke). Poa mpendwa, usipotee sana. Siku njema.
Bazazi JF-Expert Member Joined Aug 18, 2008 Posts 2,806 Reaction score 3,485 Mar 27, 2012 #24 MadameX said: Hirizi za mjapani zitatuua wengi Click to expand... MadameX nakutafuta kwa VOGUE la Kiingereza achana na mambo ya Wajapani lita moja kilometa 30. Tumia gari la Kimarekani/kiingereza lita 10 kilometa 1. Upo tayari nikuPM
MadameX said: Hirizi za mjapani zitatuua wengi Click to expand... MadameX nakutafuta kwa VOGUE la Kiingereza achana na mambo ya Wajapani lita moja kilometa 30. Tumia gari la Kimarekani/kiingereza lita 10 kilometa 1. Upo tayari nikuPM