Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hera ya gas ,shopping,nunilia gari why
mbona hao wanawake sijawaona?
Hao wanaolelewa lazima watakuwa wanaume kama mabinti.
Upendo kama mwanamke anampenda mwanaume ,mwanaume hana uwezo inabid mwanamke kumtunza
mnanunua mb... kwani siri?
huwa unaangalia 'isidingo'?Upendo kama mwanamke anampenda mwanaume ,mwanaume hana uwezo inabid mwanamke kumtunza
mfungwa hachagui jela,mwenye njaa hashauriki, mkiwatupia kitumbua wanaokota tu,njaa mbaya,nasikia mnawapa simy,vocha,gest mnalipa,kisa?Sasa kununua mbo......ga za majani kuna ubaya gani jamani?.....wewe huuzi tuje tununue?