Kwa nini wanawake wengine wanawalea wanaume

Kwa nini wanawake wengine wanawalea wanaume

kuna wanaume wengine wanajua kukuna hadi m/ke anachanganyikiwa we haujampata tu!!
 
mmh. wanapenda kupitiliza labda. Si unajua mwanamke akipenda, muulize jayz akwambie. Chezeiya mapendo veve
 
Hao wanaolelewa lazima watakuwa wanaume kama mabinti.
 
Na bado maana mnazidi kuongezeka na mnaishi muda mrefu, mtahonga sana siku zijazo.
 
Upendo kama mwanamke anampenda mwanaume ,mwanaume hana uwezo inabid mwanamke kumtunza
 
Sasa kununua mbo......ga za majani kuna ubaya gani jamani?.....wewe huuzi tuje tununue?
mfungwa hachagui jela,mwenye njaa hashauriki, mkiwatupia kitumbua wanaokota tu,njaa mbaya,nasikia mnawapa simy,vocha,gest mnalipa,kisa?
 
mfungwa hachagui jela,mwenye njaa hashauriki, mkiwatupia kitumbua wanaokota tu,njaa mbaya,nasikia mnawapa simy,vocha,gest mnalipa,kisa?

Hehehehe ina maana hujui kisa nini?.....mautamu Bishanga lol!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom