matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Israel imeingiza vifaru kwenye eneo la kijiografia la Syria.
Kinyume cha utaratibu.
Inashambulia uti wa mgongo wa jeshi lililoshindwa la Syria. Kana kwamba wanataka serikali itakayokuja hata kama ni yawa wanamgambo wasiwe na kifaa chochote cha kijeshi cha maana.
Kwa nini hawa waasi wasiendeleze vita na Israel kama lengo lao lilikuwa ni kuikomboa Syria. Watawezaje kutawala nchi ambayo imevamiwa tayari?
Najiuliza sipati jibu, wajuvi karibuni